double R
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 2,399
- 2,541
Nimekuwa na maswali kuhusu hii mifuko ya hifadhi ya jamii na nimesoma kidogo SSRA lakini nina maswali, naomba kueleweshwa.
1. Natambua ni mashirika ya umma, kwa nini sio moja au mawili kwa sababu lengo lake ni moja? Jana tu nimesikia tangazo la mfuko mpya
2. Nini faida na hasara za wingi au uchache wa hiyo mifuko ya jamii kiuchumi?
3. Kwa nini huduma zake zinatofautiana?
4. Je wakuu wote wa hiyo mifuko ya hifadhi ya jamii huteuliwa na rais?
5. Nimeona SSRA wameandika ni uchaguzi wa mwajiriwa kuchagua mfuko wa jamii anaoutaka yeye na asilazimishwe na mwajiri, hii kiuhalisia inafanyika au la?