Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwalimu Nyerere Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania miaka ya mwanzoni kabisa baada ya kupata Uhuru mwaka 1961 December 9 alitangaza maadui wa tatu wa Taifa letu kuwa ni...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Nawasalim wanaJF! Naomba kuelimishwa kuhusu hoja kwamba kuna haja gani au umuhimu gani wa kuendelea na utaratibu wa 'kula kiapo' kama dunia nzima inajua kwamba wahusika wote wa zoezi hilo...
1 Reactions
0 Replies
6K Views
Salama Jamvini, Nianze kueleza Juu ya tukio la kulipuka kwa Bomu Ktk High tables alipokuwepo Rais wa Zimbabwe Emmerson mnanangwa Mimi tukio lile naita ni Uzembe wa Electronic Warfare Team...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Leo naomba kuwasemea wadada Wa kazi, maana hakuna anaeshtuka juu ya hawa watu( ma house girl) Haki ya house girl inapokwa kila kukicha, kwanza kabisa mishahara ni midogo, pili malipo ya mishahara...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Wakuu habarini. Naomba niende moja kwa moja katika mada. Kuna jamaa yangu miaka iliyopita alikopa mkopo katika taasisi ya BancABC sasa anataka kulipa deni lake lililobakia ( salio bakia ) au...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
  • Closed
Habarini wadau, natumai mu wazima wa afya na mnaendelea vizuri na majukumu ya kutunza familia. Kuna jambo ambalo nchi nyingi za kiafrika zimekupa zinajitanabaisha kulipinga kwa nguvu zote kwa...
7 Reactions
217 Replies
15K Views
Mkuu wa wilaya Ilala Sophia Mjema ameagiza kufungwa kwa vibanda vya maonyesho ya sinema almaarufu kama (VIBANDA UMIZA ) kwa kile alichokieleza huchangia kwa kiasi kikubwa uvunjifu wa maadili kwa...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Kama watu wa dar mbadhan kuna barid basi angalia kitu wanachoexperience wana Makete na Iringa...huo mkoa haujawah kuwa na mpinzani...ni balaaa
1 Reactions
72 Replies
7K Views
Nalichukia hili linyoka, nimeona filamu limembana chui mpaka ulimi wote nje, limemeza mtu huko Indonesia hivyo hivyo limembana mbavu na kumbugia, nalichukia hili dudu, arggghhh!
4 Reactions
24 Replies
8K Views
tunawashukuru kwa taarifa nzuri sana ya habari wakati wa saa mbili usiku. shida yangu kubwa inapofika kipindi cha michezo kuna yule bondia mzungu kila siku anampiga mwafrika hii kwangu huwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari ndg wana JF, ninakuja kwenu kuomba mnijuze taratibu za ununuzi wa chombo cha moto unafanyikaje, ni vitu gani vya kuzingatia ili kuepuka matatizo yasiyo ya lazima ya 'Sikujua'natanguliza...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
wakuu naombeni mnisaidie platform ya jamii katika nchi za ulaya ili niweze kujiongezea maalifa kiujumla
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini wanajf Elimu yangu imenipa tafsiri nyngne katk maisha yangu ambayo imenipa uwazi Wa kutambua jambo ambalo skulitegemea maishani mwangu Nmesoma toka shule ya awali had high schools bila...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru *Mh. Jerry Muro* leo amemuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha *Mh. Mrisho Gambo* katika kufunga mkutano wa wadau wa sekta ya Utalii. Akifunga mkutano huo *Mh.Muro* amesema...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau facebook haipo hewani sijui ni udukuzi au ni vipi. ======== Umesharejea tukio hili limeripotiwa pia na vyombo vya kimataifa. ======== FACEBOOK DOWN - UPDATE ONE: The issues affecting...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Mimi sio mtu wa politics sana ila imefika kipindi ili CCM ishinde lazima fomu ya mpinzani iwe feki au ina mhuri feki au imesainiwa na mtu asie Mhusika, sasa Tujiulize swali la msingi, KWELI MTU...
6 Reactions
20 Replies
4K Views
Wabongo tuache tabia ya kujidharau ... ona hii mifano.. Kuku mkubwa / mnene - wa kizungu - mwembamba wa kienyeji Kila kinachoonekana kuwa kizuri eti cha kizungu .. Mbona yale mainzi makubwa...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Dege letu ni kubwa sana. Linabeba watu 262 na lina nguvu na uwezo mkubwa wa kusafiri umbali mrefu kwa siku bila shida yoyote. Tumeona linavyokata mawimbi kuanzia Dsm mpaka Mwanza kupitia...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
MATIBABU YA MWISHONI(PALLIATIVE CARE) Ameandika rafiki yangu Dr. Justin Banyukwa. Matibabu ya mwisho yaani palliative care, hii ni aina ya matibabu apewayo mgonjwa ambae ana ugonjwa wa mda...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
ni swali tu kwa wale watabe wa financial economy hebu tufahamisheni benki nyingi kuyumba nchini imaletwa na nn na inamaana gani kiuchumi, yaani imatoa picha gani kiuchumi?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom