Jambo Tz
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 670
- 203
Wiki hii kumetokea tukio kubwa la kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii kati ya wafanya kazi wa serikali na sekta binafsi
Mie kiukweli niko sekta binafsi na nilikuwa nikichangia PPF sasa inatakiwa niende NSSF ni vipi naweza kwenda NSSF KUHAKIKI MAFAO YANGU
Karibu kuchangia mada
Mie kiukweli niko sekta binafsi na nilikuwa nikichangia PPF sasa inatakiwa niende NSSF ni vipi naweza kwenda NSSF KUHAKIKI MAFAO YANGU
Karibu kuchangia mada