Msaada kwa mwenyeji wa kilumbi

Msaada kwa mwenyeji wa kilumbi

mabwiku

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
447
Reaction score
392
Habari ndugu zangu,naitaji kwenda tabora sikonge kilumbi,natokea mwanza na gari ndogo ya chini kidogo,naomba kufaham nikiingilia nzega tabora na nikipitia singida wapi mbali?na ninjia gani rafiki kwa gari ndogo? Nataka kusafiri usiku je barabara inausalama
 
Back
Top Bottom