Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za weekend wana JF. Kama kichwa cha habari hapo juu me ni kijana umri 29 yrs. Mimi nilikuwa mfanyakazi kwenye company fulani hapa dar na mkataba wangu umeisha July, 2018 na kwa bahati...
5 Reactions
62 Replies
6K Views
Nashangaa vyombo vya habari local & international vinanadi kwamba Uchaguzi wa Zimbabwe ulikuwa Huru na Haki, na ameshinda, lakini kuna Raia wamepigwa Risasi tena na Jeshi, achilia mbali...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Nilikaa na wanawake wa ki-Nigeria tukawa tunapiga stori. Nikiwaambia nyinyi soko la filamu Afrika mmelimudu lakini sinema zenu hazina jipya zaidi ya mapenzi na uchawi. Na inaelekea mnaamini...
7 Reactions
44 Replies
6K Views
Timbuktu ulikuwa mji mashuhuri duniani enzi hizo za karne nyingi zilizopita, mji huu ulikuwa ndiyo mji mkuu wa nchi ya Mali; si rahisi leo hii kwa mtu yeyote kuamini kwamba chuo kikuu cha kwanza...
9 Reactions
42 Replies
9K Views
Wakuu, Nina ndugu yangu amefunga camera sebuleni kwake pamoja na dining. Nilishawahi kubishana nae sana kuhusu swala hilo, nilimwambia ya kwamba anakosesha watu amani wakiwa maeneo hayo. Hawawezi...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Benki kuu ya Tanzani BOT imeamua kuunganisha Benki ya Twiga Bancorp na Benki ya Tanzania Postal Bank Public limited Company TPBPLC. Naibu Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Dokta. Bernard Kibesse...
1 Reactions
38 Replies
10K Views
Hivi modifications ina ruhusiwa gari za serikali
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Kipi bora kukinunuwa? Nimechoshwa na huu uchacho wa azam tv kisimbusi chao sikitaki na nimeamua kumpa mtu bure Nataka ninunue king'amuzi ambacho hata mvua ikinyesha siteseki hawa azam...
0 Reactions
44 Replies
12K Views
Hii ni tathmini yangu kuhusu kufilisika kwa baadhi ya benki nfogo ndogo au zenye mitaji ya kati. Hizi benki ni halali kabisa kufilisika. Hawana ubunifu kabisa. Nawapa mfano mdogo. Hivi karbuni...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa hali niliyoshuhudia jana maeneo fulani ya kujidai ni Dhahiri wenye kumiliki pub mitaani waimarishe swala la ulinzi Jana nimeshuhudia wanywaji wengi na walikua wakichafua meza haswa Sasa...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Nishajaribu kila aina ya doderant,mafuta na sabuni lakin wapi. Hili jasho linanikera japo halitoi harufu lakni linachora ramani fulani hivi ya bara la afrika tafadhali mtu ambaye ashawahi kukumbwa...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Wakuu kwa Muda sasa nasikia umaarufu na utajiri wa mkurugenzi mkuu wa Kirua Investment yule jamaa mwenye kiwanda cha chuma Mkoa wa pwani, kama kuna mtu ana historia ya mkurugenzi huyo plz atujuze...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Naandika kwa masikitiko makubwa sana baada ya kufika eneo la polisi na kusikia Deo bado yupo ndani, eti anahojiwa. Deo anahitaji apelekwe hospitali na sio kumuweka humo ndani hamumsaidii...
15 Reactions
105 Replies
8K Views
Bagamoyo hakuna Umeme toka jana. Je kwingine umeme upo?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari.... Husika na kichwa cha habari hapo juu binafsi ningependa kujua huyu bilionea anaetuwakilisha kimataifa/ulimwenguni (duniani) ni nani hasa kwa majina...... Maana huyu JF kuna tabia ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Toka jana katika Mitandao ya Kijamii mjadala mkubwa ni kuhusu *Uhamiaji* jamii imeweza kufungua mjadala wa wazi katika Mitandao mbalimbali juu ya Miendendo ya Kazi ya Uhamiaji, Huko Twiter nimeona...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu Fred Isack baada ya kuja kwenye ofisi yetu kunitapeli mida ya SAA moja jioni 2014 huku ukitoka machozi na kutiririka makamasi ukiomba msaada wa pesa ya nauli ya kwenda Dar es salaam kwa...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Wazo la kuwaajiri vijana wa hitimu wa JKT ni zuri lakini kwa maoni yangu lingekuwa kama ifuatavyo: 1. Waunde vikundi vya usafi katika kila miji maana wapo kila miji watoze huduma za usafi na...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Hofu imetanda kwa Wakulima 244 wa zao la Pamba katika Halmashauri ya Mji wa Geita na wengine kulazimika kuyakimbia makazi yao wakiogopa kutiwa mikononi mwa Jeshi la Polisi kutokana na kudaiwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom