thA goD
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 1,943
- 1,858
My bad!
Wananzengo hemnisaideni jinsi ya kufanya ili NYUZI zangu zisi take off Naona na loose gravity every now and then nikidondosha NYUZI humu.
Kuna hawa wa kuwaita Modis aise wana enjoy sana kugeuza NYUZI zangu DIRIMU LAINA na kuzipaisha kunako anga za majasusi na huko sizipati tena ukizingatia Natumia wino wa dhahabu which is strictly highly costfully.