Je, huku ni kujisahau?

Je, huku ni kujisahau?

grand millenial

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
4,015
Reaction score
5,664
Leo wakati napitia pitia google nikabadili searching language na kuweka kiswahili na kumsachi Mwekezaji huyu BILL GATES dhumuni ni kuwa iniletee maelezo kwa kiswahili sasa baada ya ku search tu matokeo yake taaluma yake iliyokuja ni hii hapa chini ,JE ni kuwa wamejisahau au jamaa kweli ana taaluma hiyo?
Screenshot_2018-08-03-11-48-14-1.jpg
 
Leo wakati napitia pitia google nikabadili searching language na kuweka kiswahili na kumsachi Mwekezaji huyu BILL GATES dhumuni ni kuwa iniletee maelezo kwa kiswahili sasa baada ya ku search tu matokeo yake taaluma yake iliyokuja ni hii hapa chini ,JE ni kuwa wamejisahau au jamaa kweli ana taaluma hiyo?View attachment 825840
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo wakati napitia pitia google nikabadili searching language na kuweka kiswahili na kumsachi Mwekezaji huyu BILL GATES dhumuni ni kuwa iniletee maelezo kwa kiswahili sasa baada ya ku search tu matokeo yake taaluma yake iliyokuja ni hii hapa chini ,JE ni kuwa wamejisahau au jamaa kweli ana taaluma hiyo?View attachment 825840
Mbona ana ngoma kali kibao tu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vituko vya Google hivyo... Kuna wakati huwa nadhani Google ni jini linalotumia mmea
 
Halafu hii inatokea ukiweka searching language kiswahili tu kwa lugha nyengine inaleta kawaida tu [emoji23]
 
Google hovyo kwel ndo maana situmii
 
Leo wakati napitia pitia google nikabadili searching language na kuweka kiswahili na kumsachi Mwekezaji huyu BILL GATES dhumuni ni kuwa iniletee maelezo kwa kiswahili sasa baada ya ku search tu matokeo yake taaluma yake iliyokuja ni hii hapa chini ,JE ni kuwa wamejisahau au jamaa kweli ana taaluma hiyo?View attachment 825840

Huko si kujisahau, sema kuna mtu kufanya makusudi ili kuleta utata.
 
Back
Top Bottom