MWANDISHI Silas Mbise, anayeonekana katika video fupi iliyosambaa mitandao ya kijamii akishambuliwa na askari wa Jeshi la Polisi kwa mateke na ngumi, amefunguliwa kesi kwa kosa la kutaka kupigana...
Heshima kwenu wakuu.
Nipo hapa Arusha maeneo ya sokoni one mtaa wa madukani, sasa kuna msafara wa magari ya polisi umepita hapa barabarani speed wakiwa na magari ya zima moto, magari ya...
TAARIFA KUHUSU PICHA YA VIDEO INAYOSAMBAA MTANDAONI YA KUPIGWA MWANDISHI WA HABARI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linalaani vikali tukio linalosambaa mtandaoni la kupigwa kwa...
DC mpya wa wilaya ya Namtumbo mkoa wa Ruvuma Sophia Mfaume Kizigo. Ingawa katika uteuzi huu wa ma DC macho ya wengi hayamfahamu au wala hayamtaji .
Lakini kiukweli rais ameteuwa mtu sahihi...
Nimjaribu kuangalia baadhi ya kinachoendelea Mahakamani karibu kila kona ya nchi nimeona kuna kesi ambacho zimefunguliwa hata kwa baadhi ya wafanyakazi waliokuwa wa Umma yaani Utumishi wa Serikali...
Mh. Pd. Anthony Lagwen ateuliwa kuwa Askofu Jimbo Katoliki la Mbulu
Baba Mtakatifu Francisko amemteua Mheshimiwa Sana Padre Anthony Lagwen kutoka Jimbo Katoliki la Mbulu, kuwa Askofu mpya wa...
Wakuu heshima kwenu.
Nimetafakari kwa kina kwanini chaneli za nyumbani kama Itv, Azam tv, Channel ten, Star tv, Tv E na Cloudz tv zimeondolewa kwenye ving'amuzi vinavyotoa huduma nchini kwetu na...
Hamjambo wadau,
Kila kukicha watanzania wengi wanazidi kufumbuka macho kuhusu jinsi wanavyoonewa kazini kwa kulipwa posho au mshahara kidogo sana tena wengine bila hata mkataba wa kazi wala...
Comrades habari!
Katika kitu ambacho kinasumbua dunia kwa sasa ni kufichwa/kuficha historia ya mtu mweusi. Ambapo kwa sasa historia ya Miungu wa Misri kuwa habari zinazochanganya sana jamii ya...
ITV, tafdhali , kuntadhi, ondoeni(muondoeni) Bi Chau kipindi fulani Jungu Kuu kabla tu ya taarifa ya Habari.
Bibie ni mzee, mvuto ulishaisha kitambo na kwa upande fulani kipindi kinachusha na...
Kwa anaye tumia hiki king'amuzi tafadhali naomba kujua kama kinafanya kazi vizuri au ni kwangu tu mizinguo! Na kila nikiwapigia huduma kwa wateja simu haipokelewi. Kwa mwenye namba zao tafadhali...
Habari za leo wana JF.
Kwa kweli king'amuzi cha TING sio kizuri na nimekuwa nikikitumia kwa majuto kila siku na leo nimeona niweke wazi ili wahusika aidha wajirekebishe au waeleze kushindwa kwao...
Habari zilizotufikia hivi Punde kuwa Mtoto wa Waziri wa Zamani Wa fedha Marhemu Kigoda anaeitwa Jabiri Kigoda Amekamatwa Na Magari ya wizi matatu ya Kifahari Aina ya BMW x6 , Toyota Fortuner na...
Jana kuna wanajeshi kutoka Nigeria walitembela TBC..(nimefupisha).)nilimshangaa mkurugenzi (A. Rioba) aliposema kuwa Watanzania wana utamaduni wa kubeza kila kitu, akataja taja vitu vinavyobezwa...
Wakuu habari ya jumapili?
Mimi kikazi ni mwalimu wa somo moja la hesabu secondary.... Nimekuwa na mawazo mgongano kila kukicha na sijaweza kupata uelekeo halisi wa nini nifanye kwa kuacha kazi...
Mchungaji Lusekelo aka mzee wa upako amedai kwamba wale wote wanaomchukia watapata tabu sana. Amedai kuwa yeye aliokoka chini ya ushuhuda wa askari polisi na wanausalama tofauti na hawa manabii...
Majira ya saa sita na dk 24 nilisikia meseji kwenye simu yangu ya voda kufungua nkaona kipimo nilichotumiwa na rafiki yangu nnayemtambua kwa jina la namba 5 na kipimo hiki nakiweka kwenye makala...
Michango ya "lazma" ya mbio za mwenge wa uhuru huwa ni kero kwa wafanya kazi na wafanya biashara kila mwaka.
Naomba serikali ilitambue hili kama kero zinazopaswa kuondoshwa kwa wananchi wake...
Habari zenu jamani, nimeumizwa sana na hii biashara ya sex toys yaani midoli ya kufanyia mapenzi, ni hatari kwa sababu itatengeneza kizazi cha watu wasiotoshelezwa na waume zao,
Nimewaza kama...
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amehoji sababu za vyama vya siasa kuhangaika kupokea wanachama wa vyama vingine, badala ya kushughulika na Watanzania wasio na vyama.
Akizungumza leo Jumapili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.