Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

katika hali ya uchumba au urafiki wako na mpenzi wako endapo kama mmewahi kupeana ujauzito kwa bahati mbaya MKAUTOA/AKAUTOA (abortion) kwa sababu ya masomo au sababu yoyote ya kimajukumu au...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuongezeka kwa wimbi la waafrica kuendelea kulikimbia bara lao walikozaliwa kwenda Ulaya na America kutafuta maisha bora zaidi ni dalili mbaya sana kwa bara hili kutoa fursa kubwa sana kwa hawa...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Kama China waweza kujenga madaraja kama haya...daraja hili la Beipanjiang Kusini Magharibi kwa China Jimbo la Guizhou lina urefu wa mita 720 na kimo kutoka chini ni urefu wa mita 565 na picha hii...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Katika hali ambayo si ya kushangaza sana kampuni maarufu ya Kijapani ,KONOIKE, wamefungasha virago na kufunga ofisi zao Tanzania. Haiko wazi kwa nini KONOIKE wanaondoka lakini hii ni kampuni ya...
11 Reactions
61 Replies
12K Views
Kwa ufupi Lakini baadhi ya wadau wa masuala ya kazi wametaja mambo 10 ya namna ya kuwa na amani kazini. By Florence Majani, Mwananchi fmajani@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Wanasema kazi ndiyo...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu kama somo hapo juu linavyosema. Kwa kweli tz yangu imenichosha sana, natamani nipotee niende mbali na tz. Napenda kwenda kwa waisraeli. Naomba mwenye kujua jinsi yakupata uraia wa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hapo mwanzo alikuwapo Neno, Naye neno alikaa Kwa Mungu. Mungu aliumba ulimwengu Kwa kutamka: nakuwepo anga, nakuwepo jua na vingine na vyote vikatokea. Sasa basi kumbuka pia kuwa Mungu alimuumba...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Katika watu waliosoma wakaelimika na wenye upeo wa kujua na kuelewa mambo mengi katika kizazi hiki hapa Tanzania, Zitto ni mmoja wa watu hao. Nikisiliza michango yake bungeni na hata akifanyiwa...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Geita. Halmashauri ya mji wa Geita imeongeza kata tatu na kuifanya kuwa na kata 16 ikiwa ni mchakato wa kutaka ipande hadhi na kuwa manispaa. Kata zilizoongezwa ni Nyanza yenye mitaa mitano...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Kamanda wa Mkoa wa Dodoma Kamanda Muroto kwa muda mfupi ameonyesha kazi nzuri sana kwa kuahakikisha Mkoa wa Dodoma unakuwa salama kwa kuahakikisha idara zake zote zinafanya kazi inavyopaswa...
4 Reactions
42 Replies
7K Views
Hiz tafiti cjui Magufuli anapendwa na nani cjui hpendwi na nani, hazina msaada wwte katika maendeleo ya nchi hii. Tunataka tafiti zenye tija. Tunahitaji tujue ni viwanda vingapi vimejengwa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Walikuja vijana wa will wamevalia t shirt za Vodacom mpesa wakamkuta maza angu wakamwambia lete line yako tuibadilishe iwe line ya chuo Sasa mama akatoa line yake akawapa wakaweka kwenye simu yao...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari za jioni wanajamvi natumai nyie wote ni wazima nijielekeze kwenye maada Kunastuation flani ambayo ninakabiliana nayo naili kufanikiwa kwa usahihi na bila kuharibu na kuvuruga utaratibu...
4 Reactions
123 Replies
12K Views
Wana JF mi nlijua baada ya Mhe Waziri Kangi Lugola kumuomba IGP kutoa maelezo kuhusu swala la mabasi kutosafiri usiku kucha na maduka kutokuwa wazi usiku kucha kutakuwepo na mabadiliko kuanzia...
4 Reactions
42 Replies
6K Views
Babati. Mwanafunzi (8) wa darasa la kwanza wa shule ya msingi Maganjwa Wilayani Babati, Manyara (jina linahifadhiwa) amebakwa na mkazi wa Kijiji hicho na kuharibiwa vibaya sehemu zake za siri hali...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana. Bila kupoteza muda naomba niende kwenye hoja ya msingi, ninyi kama ndugu kwangu naingependa kupata msaada kwa hili tatizo langu, nimekuwa...
8 Reactions
101 Replies
9K Views
Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Mwanamke na Uongozi ambayo makao makuu yake yako Mwenge Dar es salaam iliyoanzishwa na vijana wa kike wakiwa bado masomoni ktk vyuo vikikuu miaka michache tu...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
KIBABU, Chen San Yuan, wa Taiwan, amefunga simu 11 kwenye baiskeli yake ili kila aendapo aweze kucheza michezo ya Pokemon iliyoko kwenye simu hizo. Yuan, mwenye umri wa miaka 69 na anayeishi jiji...
3 Reactions
16 Replies
6K Views
Kupitia Nyota tunaweza kujua tabia za viongozi wetu na ningependa kushauri kabla ya kumteua kiongozi lazima background ya nyota yake itizamwe. Leo ningependa kuangalia nyota ya hawa viongozi wetu...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh Kangi Lugola akiongea na East Africa Redio asubuhi kwenye kipindi cha Breakfast ameagiza kupimwa kilevi kwa kila dereva wa ambaye gari yake inapitia kupimwa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom