Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dr. Kigwangalla, H.‏Verified account @HKigwangalla 8h8 hours ago DAY 6: Leo ziara ya #PoriKwaPori inaelekea wilaya ya Kalambo, mkoani Rukwa. Pichani: Ntembwa Falls ndani ya Lwafi Game Reserve...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Gilles Muroto akizungumza na Yuda Mbata ambaye anatuhumiwa kuhamasisha maandamano kwenye mitandao ili wananchi waandamane April 26 mwaka huu. Watu wawili...
0 Reactions
178 Replies
24K Views
*RC HAPI AKUTANA NA WAZEE WA MKOA WA IRINGA* *ASIMIKWA RASMI KUWA CHIFU WA WAHEHE* *Ni katika mkutano wake na wazee wa Iringa* *Wazee wafurika, mamia wakosa pakukaa ukumbini* *Wamshukuru Rais...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
wakuu kwema? hivi ni kwa nini wanajeshi wa marekani wanastaafu kulitumika jeshi la nchi yao wakiwa na umri mdogo kuliko hapa kwetu Tanzania? mfano unakuta kijana mdogo tu lets say miaka 27 kaenda...
5 Reactions
38 Replies
9K Views
2000-2005 hivi nilivutiwa sana na kipindi cha Redio Free Africa kinachoitwa ''mambo mambo na sweet menthol''. kipindi ikianza ni noma kinachangamsha,nimesahau jina la mtangazaji wako nadhani...
0 Reactions
91 Replies
15K Views
Mtabiri maarufu Tanzania Maalim Hassan Y. Hussein na ambaye pia ni mtoto wa alokuwa mtabiri wa Tanzania na Afrika Mashariki the late Sheikh Yahya Hussein ametabiri mambo mengi na matukio mengi...
1 Reactions
49 Replies
16K Views
Wakuu, pana dada mmoja kwenye radio hii ya DW Idhaa ya Kiswahili huwa ananikosha mno anavosoma hasa taarifa ya habari, tena ni leo mchana na jioni alisoma. Tatizo jina lake linanishinda kwani...
0 Reactions
63 Replies
14K Views
Habari zenu wakuu… Naomba mlist percentage hapo chini, kwa mfano elimu imekusaidia 70%, 50%, 25% etc Nauliza maana Becky anataka kujiunga na MEMKWA ila naona nahitaji mawazo yenu. Namaanisha...
7 Reactions
111 Replies
7K Views
Hello JF, Kielimu na nchi nyingine lets say western countries tunachotofautiana; Ni culture ya kujisomea vitabu, Tangia umri mdogo watoto wao wanaongozwa kusoma vitabu na kwenda library...
17 Reactions
98 Replies
13K Views
Hili ni tatizo la muda mrefu. Unapobadili chaneli na kuhamia ITV inakulazimu kuchukua rimoti na kupunguza sauti.. Wahusika chukueni hatua katika kufanyia maboresho mfumo wa sauti...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu, ifikie kipindi watoto wetu (wako au jirani yako) tuwachunguze tabia zao mapema na kuwanyoosha mapema ili kuepuka AIBU katika jamii... inayotuzunguka sikuhizi humu ndani.. kuna...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Azam wana vifurushi mbali mbali, Kuanzia Kifurushi 10,000/=, kuna cha 18,000/=, cha 23,000/= na 28,000/=. Vifurushi vyote hivi vimeathirika kwa kuondolewa channels za hapa nyumbani, maarufu kama...
8 Reactions
23 Replies
5K Views
wadau habari,ningependa kujua historia ya huyu bibi fisi ambaye inasadikika alikuwa mchawi kiboko katika jiji la mwanza.nilishuhudia nyumba yake ikiwa katikati ya barabara maeneo ya bugando miaka...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Habari za jioni wana JF. Mwanzoni nilkua natumia zuku niltumia gharama kidogo sana kupata channel nyingi na niliinjoy sana isipokua sikuweza ímara moja moja mpira wa ligi za nje hasa laliga. Hii...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Hello ningependa our elders humu watupe experience zao…. Specific in relation to religion... Je ni kweli watu wa dini(islam,Christianity) wana Amani Zaidi ya watu wasio na dini?.... kuna...
5 Reactions
98 Replies
8K Views
Kwa yeyote anayejua namna ya kuua popo kwa kutumia njia tofauti na sumu za madukani .. naomba msaada. Nasubiri msaada wenu wapendwa.
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Amani iwe nanyi! Nina wageni wanaotafuta sehemu za kutalii wakiwa hapa Dar es Salaam na viunga vyake. Wapi mnashauri waende? Hawa watu siyo spenders kihivyo, wanataka tu sehemu zinazoonyesha...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Naulizia kutokana na tangazo la free to air channels kwenye visimbuzi (decoders) za hapa Tanzania. Local channels zinapaswa zisilipishwe. Mbona hawa DSTV wanaonyesha TBC na CHANNEL TEN pekee yake...
9 Reactions
63 Replies
11K Views
Hili la leo la kijana mwenzangu Julius Mtatiro limenishtua sana na limenipa simanzi; mi ni muumini wa siasa za vyama vingi na sibagui chama hasa ninapoona mazuri yanatokea upande huo.Hali ya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Tena Cement yenyewe inatengenezwa huku huku Kigamboni. Mfano mzuri ni Nyati cement, bei yake haishikiki. Ni nani huyo huko serikalini anataka utajiri wa haraka haraka namna hii?
7 Reactions
147 Replies
17K Views
Back
Top Bottom