Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau, Nina safari ya dharura kuelekea bondeni South Africa. Given the fact that my country is a SADC member, je naweza kutumia Temporary Passport kufika South Africa? Muda wa kuprocess Passport...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Ukifika arusha kwa mara ya kwanza kama umeshafika Dar na mwanza utashangaa kuona kamji kadogo kuliko sifa zake. Nataka tujadiliane mambo yanayotishia Amani ya Arusha. Jambo kubwa ni kwamba uchumi...
14 Reactions
168 Replies
40K Views
Habari za wakati huu wakuu. Nahisi nitazeeka kama si kufa bila kutumia usafiri wa anga na wa majini. Sijui ni kitu gani kimenikuta ila hiyo aina ya usafiri sijawahi kupanda na wala sifikirii...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kila siku dunia inapiga hatua, na sisi hatuoni sababu ya kubaki nyuma. Tupate Live kwenye tovuti yetu www.nmbbank.co.tz/live na ukurasa wetu wa Facebook siku ya Jumanne, Agosti 14 tukusanue...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Wakuu naombeni ushauri, nataka kuanzisha biashara ya maji ya kunywa, natafuta kiwanda ambacho kitakubali kuingia mkataba na mimi wanizalishie kwa brand yangu kama inakubalika kisheria nikapambane...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Kutokana na changamoto mbalimbali ninazozishuhudia kila siku, nadhani kunahitajika chombo maalumu cha kushauri mamlaka mbalimbali na kutetea maslahi ya sisi ambao katika shughuli zetu za kila siku...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Niko kwenye mgahawa mmoja huku Kigamboni, naona watu wanaangalia na kujadili namna ya kupiga dagaa mchele bila kupenda yani, nacheka kimoyo moyo, mijibaba inabishana namna bora ya kupika dagaa..
5 Reactions
15 Replies
5K Views
Mwaka 2005 Diamond alisafiri kwenda Tanga kuomba kuperform kwenye show ya Q-Chilla. Mabaunsa wakamtimua. Alipojaribu kuwaelewesha wakambeba juu juu na kumchania Tshirt na kumtupa nje. Bahati nzuri...
5 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu heshima mbele, Tarehe 7/8/1998 balozi za Marekani nchini Tanzania na Kenya zilishambuliwa kwa wakati mmoja/wakati uliokaribiana na kwa ukanda huu huo ulikuwa ni kama utambulishi wa Al Qaeda...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Kufuatia kuadimika ghafla kwa saruji kamati ya bunge ya viwanda na biashara imeitaka serikali kuvichunguza viwanda vyote vya ssruji. Mwenyekiti wa kamati hiyo Sadiq Murad amesema haiwezekani...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Leo hii nipo na watu mtaani hapa...tunajadili kuwa uchaguzi mdogo wa Marudio Wengi wao wanaamini uchaguzi ulikuwa wa haki... Wanaamini sisiem imeshinda kwa haki.. Najaribu kuwaeleza walau juu...
7 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari za humu wanajamvi. Ni takribani siku nne sasa zimepita tokea tushuhudie tukio la mwandishi wa habari akishushiwa kipigo pale uwanja wa Taifa na askari wa jeshi la polisi. Haikuchukua muda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hakika nawaambia, Nikiwa nimejivika kofia ya ukatibu Wa wanaume; Kosa moja kubwa lililofanywa na watangulizi ni kuruhusu Mwanamke KUELIMIKA, Mwl; Nyerere aliwahi kusema "Ukitaka kuishi kwa amani...
5 Reactions
33 Replies
5K Views
Wakuu mpo pouwa? Miezi miwili iliyopita nilikuwa na tour yangu binafsi nchini Ujerumani. Safari yangu ilianzia ktk uwanja wa kimataifa wa Kilimanjaro airport hadi Dubai nikitumia Ethiopian...
29 Reactions
278 Replies
24K Views
Ilielezwa kwamba, muswada wa sheria ya fao la upotevu ajira ilipitishwa na bunge na kusainiwa na Mkuu. Hii ilikuwa mwezi wa pili au wa tatu hivi. Je, sheria hiyo inafanya kazi? Kama haifanyi kazi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Asanteni sana wahusika. Sisi wenye dstv inabidi tuangalie chefeko chereko la sivyo tuangalie wakata viuno sound city. Au wacheza uchi sound city Tunashukuru
10 Reactions
134 Replies
16K Views
Fuming builder 'demolishes five new cottages worth £2.5m in pay row' by Chris Kitching 6 hrs ago © Provided by Trinity Mirror Shared Services Limited Five new-build bungalows have been...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Mwaka jana na mwanzoni mwa mwaka huu, kumekuwa na taarifa za kibiashara toka kampuni ya Ttcl za kuvutia wateja kwenye mitandao ya mawasiliano nchini, kwa kauli mbiu yao ya "rudi nyumbani...
2 Reactions
65 Replies
9K Views
Napongeza hatua chanya zinazofanyika ili kuboresha ufanisi wa Bandari yetu {Dar es salaam}.Kumefanyika mchakato wa kuwaondoa wafanyakazi wasio na weredi na sifa ambapo mamia wameondolewa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ni mida ya saa kumi na moja saa za jioni kijana anampigia simu rafiki yake na kusema "samahani rafiki yangu ninashida na hela, mama yangu anaumwa na hapa nilipo sina pesa ya matibabu. Rafiki...
29 Reactions
42 Replies
5K Views
Back
Top Bottom