Sex toys ni hatari kwa kizazi chetu Tanzania.

malkiamrembo

JF-Expert Member
Mar 29, 2015
388
250
Habari zenu jamani, nimeumizwa sana na hii biashara ya sex toys yaani midoli ya kufanyia mapenzi, ni hatari kwa sababu itatengeneza kizazi cha watu wasiotoshelezwa na waume zao,
Nimewaza kama mtoto wa shule akianza kutumia sex toys mpaka atakapokuwa mkubwa na kuolewa atakuwa amekubuhu hivyo hawezi kutoshelezwa na mumewe ni lazima apate lile toy, na pia sehemu zake za uk...... Zitakuwa ni kubwa sana kulingana na toy analotumia.

Jambo hili limeanzia America na sasa limeingi Tz, naomba wanawake tuamke sio slama haya matoy, na hata wenye watoto wakike muwaelimishe kabla mambo hayaja haribika.

Jamani mi nimemaliza.
IMG_20180805_163033.jpg
 
DrLove69

JF-Expert Member
Jan 20, 2018
3,122
2,000
DrLove69 sio a bit... ni too late tayari, tena baya zaidi wadada wanaazimana kama nguo vile
Toba yarabiii astaghafilullahi. Ndio maana siku hizi mabinti kwa wake kutwa kulia na kulalamikia Vibamia! Kumbe wanaumizana na midoli. Nimeona anatangaza "Anal plugs" hapo nimechokaa kabisaaa mkuu. Uchafu umeingia katika jamii kwa kasi sana.
Najiuliza haya madude yanaingiaje nchini mkuu?
 
wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
19,495
2,000
Habari zenu jamani, nimeumizwa sana na hii biashara ya sex toys yaani midoli ya kufanyia mapenzi, ni hatari kwa sababu itatengeneza kizazi cha watu wasiotoshelezwa na waume zao,
Nimewaza kama mtoto wa shule akianza kutumia sex toys mpaka atakapokuwa mkubwa na kuolewa atakuwa amekubuhu hivyo hawezi kutoshelezwa na mumewe ni lazima apate lile toy, na pia sehemu zake za uk...... Zitakuwa ni kubwa sana kulingana na toy analotumia.

Jambo hili limeanzia America na sasa limeingi Tz, naomba wanawake tuamke sio slama haya matoy, na hata wenye watoto wakike muwaelimishe kabla mambo hayaja haribika.

Jamani mi nimemaliza.
View attachment 827655
Ungeacha wazi hilo jina la hilo duka ili serikali ijue inaanzia wapi maana hadi bidhaa inafika hapo wakulaum ni mamlaka husika inayoshughulika na mambo hayo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom