Uliwezaje kufanikiwa baada ya kuacha kazi ya kuajiriwa?

Sokoro waito

JF-Expert Member
Nov 21, 2014
2,205
2,000
Hamjambo wadau,

Kila kukicha watanzania wengi wanazidi kufumbuka macho kuhusu jinsi wanavyoonewa kazini kwa kulipwa posho au mshahara kidogo sana tena wengine bila hata mkataba wa kazi wala malipo ya mifuko ya jamii kwa ajili ya pensheni.

Huenda na wewe uliwahi kupitia uonevu huu ndipo ukaamua kuacha kuajiriwa na ukajikita kwenye ujasiriamali au biashara hata ukafanikiwa kwa kiwango fulani.

Toa uzoefu wako kwa wadau wa MMU.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom