johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mchungaji Lusekelo aka mzee wa upako amedai kwamba wale wote wanaomchukia watapata tabu sana. Amedai kuwa yeye aliokoka chini ya ushuhuda wa askari polisi na wanausalama tofauti na hawa manabii mamboleo. Source Star tv!