Je, kuna sababu za msingi kwa Anunnak kuwa na kichwa cha tai?

FrediusSnowden

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
269
224
Comrades habari!

Katika kitu ambacho kinasumbua dunia kwa sasa ni kufichwa/kuficha historia ya mtu mweusi. Ambapo kwa sasa historia ya Miungu wa Misri kuwa habari zinazochanganya sana jamii ya leo. Kuna nadharia ambayo ninafikiri kwamba jamii iliyoendelea miaka ile ni historia ya mtu mweusi. Ambapo hadi kwasasa viumbe hivyo vilivyo jaliwa maarifa ya kimungu.

Kwa kuangalia agano la kale ni wazi kwamba Anunnak wa mwisho alikuwa yule wa enzi za Musa. Ngoja niweke sawa historia na ile nadharia yangu (Waisraeli ni watu weusi na si kila mtu mweusi ni Muisraeli). Utakubaliana nami kwamba wakati Musa anakwenda kwa firauni alikuwa anaogopa kutokana na nguvu zake farao. Utakumbuka swali farao alilomuuliza Musa, "lini nilikuambia nawahitaji watu wangu.." hii ni baada ya Musa kumwambia kuwa Mungu wa Waisraeli amemtuma kwake.

Ni wazi kuwa Farao alikuwa mungu wa wa Misri. Na aliweza kuwapatia huduma watu wake kama mvua nk.. (rejea uwezo wa kugeuza fimbo kuwa nyoka).

Nadharia za uwepo wa Sayari X, huenda ndiko ambako hawa Anunnak walitoka. Je walikuwa hawajulikani wakoje? Je walikuwa wanabadili sura? Kwanini walifanya sura zao kuwa siri sana kuonekana kwa watu na vizazi vya leo? Kwanini sura ya tai?
 
Tai ndege? Au tai tai?

Nafikiria sasa hivi mtu ambaye kichwa chake ni tai ya kuvaa shingoni na hiyo picha imeniganda muda huu.

Nashindwa kujizuia kucheka
 
Back
Top Bottom