ITV, muondoeni bi Chau kipindi cha jungu kuu

ITV, muondoeni bi Chau kipindi cha jungu kuu

ITV, tafdhali , kuntadhi, ondoeni(muondoeni) Bi Chau kipindi fulani Jungu Kuu kabla tu ya taarifa ya Habari.

Bibie ni mzee, mvuto ulishaisha kitambo na kwa upande fulani kipindi kinachusha na hakivutii.
Sijui kipindi kinawalenga nani haswa!
Watakuweka wewe! Mwanaume kama huna kazi ya kufanya utaangalia hadi mambo ya wanawake.
 
wanaume wa dar mnatia aibu!

mambo na vipindi vya wanawake navyo mnafuatulia?
Una idea ndogo sana ya
Programming na presentation ya vipindi.
Prime spots kabla ya taarifa ya habari, haifai kuweka vipindi visivyo appeal to the broader audience.
Sasa kama ninyi Waanchori ni wapenzi wa Horror movies hilo ni la kwenu.
 
Unabidea ndogobsana ya

Programming na presentation ya vipindi.
Prime spots kabla ya taarifa ya habari, haifai kuweka vipindi visivyo appeal to the btoader audience.
Sasa kama ninyi Waanchori ni wapenzi wa Horror movies hilo ni la kwenu.
hizo ni vipindi za wanawake!

ikifika saa 2:00 weka itv
 
Back
Top Bottom