Michango ya "lazma" ya mbio za mwenge wa uhuru huwa ni kero kwa wafanya kazi na wafanya biashara kila mwaka.
Naomba serikali ilitambue hili kama kero zinazopaswa kuondoshwa kwa wananchi wake.
Ikibidi basi mbio hizi zitengewe bajeti kama ilivyo kwa Maadhimisho ya siku za Uhuru na Muungano.
Watumishi wanasulubishwa na kuwekewa vinyongo na visasi na wakuu wao wa wilaya na halmashauri kisa michango ya mwenge!... hii sio haki.