Heshima kwenu wakuu.
Nipo hapa Arusha maeneo ya sokoni one mtaa wa madukani, sasa kuna msafara wa magari ya polisi umepita hapa barabarani speed wakiwa na magari ya zima moto, magari ya washawasha huku wakiwa wamekaa tayari tayari kama wa naenda vitani vile.
Magari ni mengi ajabu makubwa kwa madogo na kila gari likiwa na bendera nyekundu.
Kama kuna anayejua kuna nini atiririke hapa ili kama kuna tatizo tujiandae namna ya kukabiliana nalo tafadhali?