Watu mnasema pesa hamna
Uwongo huu
Vyuma vimekaza
Uwongo huu
Hali ni ngumu
Uwongo huu
Maisha magumu
Uwongo huu
Hali ni.mbaya
Uwongo huu
Hali ni ngumu
Uwongo huu
-Sijawahi kuona vyuma...
Basi la abiria lililokuwa likitoka Makumbusho kuelekea Mbagala Rangitatu limepiga mweleka na kuingia mtaroni katika eneo la Mtoni Mtongani darajani jijini Dar as Salaam leo, chanzo cha ajali...
Kuanzia saa 1 leo, ITV, CLOUDS, STAR TV, EATV na Channel 10 hazipo kwenye king'amuzi cha star times.
Sijajua kama nao wameungana na ndugu zao kuondoa locals au labda wamepewa maelekezo.
Meneja wa NSSF Temeke ndugu James Oigo sasa ni mwezi alikamatwa na TAKUKURU kwa kupokea rushwa toka kwa mwanachama.
Alifikishwa mahakamani na kuachiwa kwa dhamana. Cha ajabu bwana huyu ameendelea...
Dunia imebadilika watu wanafanya biashara ya viungo vya binadamu kama moyo na figo ambavyo hutumiwa katika trasplantation 'upandikizaji' kwa wagonjwa walio na matatizo ya kifeli kwa viungo ivyo...
Wakuu,
Kwa mwaka 2017 unafikiri nani ni member ambaye amekuwa positive impact kwenye maisha ya Watanzania wenzake kwa namna moja ama nyingine. Nafikiri Jamii Media pia wangetoa tuzo kwa hili...
Serikali imefuta kodi ya pango la ardhi katika majengo na maeneo yote ya taasisi ambazo zinatoa huduma katika jamii bila kufanya biashara na kuzalishi faida
Hayo yamesemwa na Waziri wa Ardhi...
Tuna baba mwenye nyumba wetu kwa sisi wa mujini, yupo kimya sana, ama kama anaendelea na makeke yake basi itakuwa kwa style ya silent mode!
Ki maumbile ni mtu wa makeke, mikwara, mabit, mpenda...
Ulikua ni asubuhi tulivi nilipo kutana na kijana yule ilikua stendi ya magari iliyo mkoani Arusha, tuli salimiana vizuri tukapiga story mbili tatu
akaanza kunielezea kuhusu maisha yake:-
Yeye ni...
Wanandoa wapenzi wa sherehe za kuzaliwa, walimpenda mwandishi mkubwa wa vitabu na kumualika kwa ajili ya chakula cha jioni nyumbani kwao kufanya kumbukizi ya kuzaliwa kwa mwandishi.
Aliungana nao...
Niliagiza Gari (Corrola 2000) kwa ajili ya Taxify/Uber
Baada ya kujaribu Ku endesha mwenyewe nimeona ni Biashara kichaa. Nachoma mafuta/Naspend muda Mrefu mpk 15hrs na bado naishia kupata trip 3...
Wanabodi baada ya kuzuka utata kwenye hivi vingamuzi kuhusu FTA tumeona channel nyingi za local zimeondolewa kwenye Azam,Zuku nk lkn hili li Tbc lipo halijaondolewa kuna exempt gani inayoifanya...
Profesa wa Uchumi wa Chuo Kikuu kimoja alizungumza darasani kwamba hakuwahi kufelisha mwanafunzi hata mmoja, hata hivyo wakati huu Darasa zima lilikua limefeli.
Darasa lilikua limejibu mtihani...
Sasa imefika wakati tuwapige "fine" TANROAD angalau watoke usingizini...kila siku ni "dereva ndio chanzo cha ajali" lakini visababishi vya ajali havisemwi...ni dereva tuu!
Hebu endesha eneo hilo...
“Tunapongeza mafisadi kubanwa, kuhama mabondeni hatutaki.” Kimsingi, nilikuwa ninaunga mkono hatua ya vunjavunja maeneo ya bondeni kwa kuwa ilikuwa muhimu kwa nchi. Niliwakumbusha Watanzania...
Leo nimeshangaa sana eti Magufuli anasema treni hadi jijini Mwanza na mizigo inashushwa kuvuka ziwa kwa meli hadi Uganda usumbufu huo wote wa pakia pakua Sijui kwenye meli wameshindwa nini kujenga...
Sawa kwa mengine tunasubiri utata huu upate suluhu mapema, Sikuwahi kudhani kumbe hata kutangaza habari kunataka kibali
Hii ni kitu muhimu mno TV ni chombo cha kupasha habari inakuwaje mamlaka...
Habari wakuu humu ndani.
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.nataka mnijuze wajuzi au kuujuza wale ambao wapo kama mimi,hawajui.naami kira MTU hujivunia asili Mali za kwao.nani ufahari ulioje...
Viongozi wa dini ninyi tu ndio tumaini lililobaki kukemea injustice. Mtu anachomwa visu Arusha hadi kuzimia halafu yeye dio anapewa kesi, kosa lake ni kuw yeye ni CHADEMA. Hivi mnajua hata yule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.