King'amuzi cha Ting Tanzania kinafanya kazi au kwangu tu?

Nov 5, 2015
88
33
Kwa anaye tumia hiki king'amuzi tafadhali naomba kujua kama kinafanya kazi vizuri au ni kwangu tu mizinguo! Na kila nikiwapigia huduma kwa wateja simu haipokelewi. Kwa mwenye namba zao tafadhali naomba aweke hapa.
 
Piga namba hii 0712123804, halafu usisahau kuweka ulichojibiwa hapa kwani huenda wewe ukawaelewa. Mimi hata siwaelewi
 
Kwa anaye tumia hiki king'amuzi tafadhali naomba kujua kama kinafanya kazi vizuri au ni kwangu tu mizinguo! Na kila nikiwapigia huduma kwa wateja simu haipokelewi. Kwa mwenye namba zao tafadhali naomba aweke hapa.

Haya matatizo mengine munajitakiaga wenyyewe. Kabla ya kununua kingamuzi uluza kwanza watu wanaaofahamu habari ya mujini. Hayo ndo mazara ya kukurupuka kisa umesikia wenyewe wanapigia debe!
 
Sawa mkuu..naomba kuuliza habari ya mujini basi.
 
Hayo ni majibu ya Mungu na fundisho au pigo kwa mmiliki wa Ving'amuzi hivyo. Huwezi kutumikia mabwana wawili!

#ATN
 
Nnacho mwaka Wa NNE sasa yaano dstv wakinizingua tu nahamia ting kiko super sijalipia mwaka Wa tatu sasa lkn local channels zote zipo uki search unapata channels 96. Za movie za uarabuni kibao
 
Back
Top Bottom