Napenda kutowa malalamiko yangu kuhusu nyie TANAPA mnavyowasumbua Tour Operators kwenye maswala ya malipo wakati wanapotaka kuwapeleka watalii kwenye mbuga zenu za wanyama au Kilimanjaro...
Dar imekumbwa na wanawake wasagaji maarufu tom boy..juzi pale Mikasa pub Tabata wamefanya birthday kubwa sana.
Sasa swali linakuja nini kifanyike kuwaondoa?
Nilitakiwa kusafiri na ndege ya ATCL tarehe 10.8.2018 Mwanza - Dar na kurudi 15.8.2018 DAR- MWANZA lakini kwa bahati mbaya sikusafiri kwani nlipata dharura kubwa. Leo nimefika ofisi ya ATCL Mwanza...
Siku za hivi karibuni kumekuwa na tabia ya kuuza mafuta yanayotoka katika magari ya kampuni ya ujenzi wa China civil construction maeneo ya Ubungo karibu na kituo cha kulelea watoto yatima upande...
Ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner imeharibika kuanzia jana jioni baada ya kufika jijini Mwanza haikuweza kuendelea tena na safari mpaka sasa tatizo halijukani .Baadhi ya Abiria kutoka Arusha...
Habari za wakati huu wadau wa JF, natumai muwazima, binafsi niko poa..
Kama Mada isemavyo hapo juu naomba kapata uzoefu wenu wadau baada ya kuhitimu chuo kikuu uliendeshaje maisha bila ya kuwa na...
Bros and sists,
Hope mko poa kbs,
Naomba leo tujikumbushe siku za mwanzo vyuoni hasa HOSTEL, mimi nilijiunga na chuo cha UDSM nikitokea mmamndenyi na ucha Mungu wangu na kupangwa pale MABIBO...
Wanabodi toka jana na wk hii yote vituo mbalimbali vya radio na Tv vimekua vikimfanyia interview huyu jamaa anajiita teacher allen baada ya kutoa wimbo wake unaoitwa "wachakumbimbi" ambae ni...
1.Kuwa na malengo ya kudumu;Wengi wetu tunapuuzaga malengo kwa matamanio na hili litacost umri wako.Ukiulizwa lengo la siku ya jana tu asilimia 100% hawajui jana wamepanga nini na wamefanikiwa...
Rorya mara ;
Ajali mbaya sana imetokea rorya kijiji cha mika kitongoji cha bukwe kwa gari aina ya probox yenye namba za usajili t 258 bgb.Kwa maelezo ya shuhuda alienusurika kwenye ajali hiyo...
Wanawake wawili wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma mbalimbali akiwamo mmoja aliyemuua mtoto wake wa kiume wa miaka 11 kwa kumpiga fimbo kichwani.
Katika tukio jingine mwanamke...
Assalaam Aleykum,
Nyota inajulikana inaonekana vipi kama vile Reli inavyojulikana inaonekana vipi,
Sasa inakuaje kwenye mitandao karibu yote watu wao wa huduma pamoja na wateja pia husikika kwa...
Yaani kiukweli hii channel ni sifuri
Ubora wa picha unasikitisha sana haina hata hamu kuitazama
Mnaboa kweli[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Ule wekundu wekundu wa picha...
MOD NIBADILISHIE TITLE ISOME: Madada ya Mujini yanatumia Instagram na groups za WhatsApp kutapeli.
Utakuta anajitia kuhamasisha Ujasiriamali, au kwamba kaguswa na tatizo lililompata flani, au...
Hyyyy wakuu, nadhani wengi wenu mmekuwa mkiisikia hii Application ya Tala sehemu mbalimbali na kazi yao kuu ya utoaji mikopo midogomidogo..
Kiukweli niliiona ni moja kati ya App matata hapa bongo...
Habarini wakuu
Moja ya ugonjwa wa vijana wa karne hii ni kuamini kila mmoja anaweza kivyake.
Tumesahau dhana ya umoja na mshikamano. Tumekuwa wenye kupenda kusifiwa na si kusifia wengine...
Baada ya miezi mitatu tu ya kuanza kazi kama Quality control supervisor , hali yangu ilianza kubadilika, Mdomo umegeukia upande meno ya mbele yametoka na baada ya kwenda Hospitali walinifanyia...
Kwa haraka haraka, chale za kichawi ni zile alama ambazo mtu anachorwa kwa kuchanwa mwilini (hasa usoni) katika mazingira ya kutatanisha..
Mara nyingi hutokea nyakati za usiku ambapo mtu anakuwa...
Soko la Mabibo Dar es salaam
Soko la Seattle huko Marekani
Maeneo Masokoni kama vile soko la Mabibo kuna ushuru unakusanywa kila siku lakini mazingira ya soko bado hayaridhishi hasa upande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.