Ray model
JF-Expert Member
- Jul 27, 2018
- 207
- 185
Yaani kiukweli hii channel ni sifuri
Ubora wa picha unasikitisha sana haina hata hamu kuitazama
Mnaboa kweli[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Ule wekundu wekundu wa picha yaani hata akitangaza mdada mweupe utadhani kaungua kwa mkorogo sio kwa wekunde ule wa picha jamani[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hivi hawa boss wao ni nani?na anaridhika tu channel kuwa ubora mbovu hivi??
Hata 3gp ina afadhali kwakweli hii ni too much nadhan itakua 2gp maana sio kwa picha zile jomoni
Mpaka najiuliza kama nayo ni tv jamani
Halafu habari zenu za kusifiya sifiya muache nendeni azam au itv mkajifunze utangazaji huko.