Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,422
- 1,254
Habari wanajamvi soon nitaelekea alizeti city. Basi gani comfortable kwa root hiyo maana bombardier haifiki huko..
Thanks
Thanks
OK sawa
Panda meri
ABC inaonekana ipo poa kwa Maelezo ya wadau. Sitaki gari linalokimbia kama KISBOPanda bus yoyote nzuŕi ziendazo kanda ya ziwa maana lazima zipite singida
Kuna totozi huko wema kasingiziwa[emoji23] [emoji23]Habari wanajamvi soon nitaelekea alizeti city. Basis gami comfortable kwa root hiyo maana bombardier haifiki huko..
Thanks
Aha ha a a poaKuna totozi huko wema kasingiziwa[emoji23] [emoji23]
Bovu hilo spana mkononiOTA high class utaikubali mwenyewe
Hata Lulu na n chamtoto kwa totoz za hukoKuna totozi huko wema kasingiziwa[emoji23] [emoji23]