Usumbufu wa App ya Tala

Usumbufu wa App ya Tala

Nakadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,778
Reaction score
7,375
Hyyyy wakuu, nadhani wengi wenu mmekuwa mkiisikia hii Application ya Tala sehemu mbalimbali na kazi yao kuu ya utoaji mikopo midogomidogo..
Kiukweli niliiona ni moja kati ya App matata hapa bongo na IPO very fast..
Ila hivi majuzi imenishangaza katika utendaji wake wa kazi..
Nilikuwa na deni ambalo nilitakiwa nilipe Leo kama deadline ya mkopo.. Ila nikaamua kulipa deni toka juzi..
sasa cha kushangaza deni lao nimewalipa halafu nashangaa natumiwa SMS kila wakati kuwa nilipe deni, nimejaribu kuwaface na kuwatumia uthibitisho wa muhamala wangu wa malipo wakakubali kuwa wameyapokea malipo yangu.
Sasa nashangaa taarifa zangu hazijawekwa katka App yangu husika, bado inaonesha nina deni na natumiwa SMS za kufanya malipo.
Sasa naomba niwaulize nyie TALA kama mko humu, tatizo ni nini au wateja ni wengi sana hadi mnashindwa kutoa hudumu kwa wakati...?
 
TALA na kampuni zinazofanana nayo zimelizwa sana na watumiaji wake. Mtu anakopa akimaliza anatupa laini anakimbia.

Ndugu yangu wa karibu alikopa 80,000 kwenye kampuni inayofanana na hiyo halafu akapotea.

Pengine app haijalishwa taarifa zako au wanadouble check
 
Back
Top Bottom