donniebrasco
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 887
- 775
Assalaam Aleykum,
Nyota inajulikana inaonekana vipi kama vile Reli inavyojulikana inaonekana vipi,
Sasa inakuaje kwenye mitandao karibu yote watu wao wa huduma pamoja na wateja pia husikika kwa sana wakiita ALAMA YA NYOTA(*) kama NYOTA tu na ile ALAMA YA RELI(#) wakiita kama ilivyo yaani ALAMA YA RELI.