Uongezeko la ma tom boy Dar nini kifanyike?

Uongezeko la ma tom boy Dar nini kifanyike?

Kila mtu anauhuru wa kufanya chochote kinachomfurahisha bora tuu kama havunji katiba ya nchi kama fulani
Unaweza kuwa unafanya kitu ambacho si kinyume cha sheria lakini ikawa kikwazo kwa jamii inayokuzunguka...mfano..kuimba mtu hazuiwi...upo kwenye daladala abiria wametulia alafu ukaanza kuimba kwa nguvu..offcourse haujavunja sheria lakini unakuwa unaleta bughudha kwa abiria...
 
..wanaume wa Dar wakubali majukumu...ndo sulihisho
 
Tunavyokua tunasema kuna wanaume wa Dar msikatae matokeo yanaonekana
 
Wanaume wa dar wameshindwa kuwapa haki yao, waache wafanye watakacho!

lawama ziende kwa wanaume wa dar, wanashindwa kuwakuna ndio maana wanafanya ivyo

Nakazia hapa, Lawama kwa Wanaume Wa Dar

..wanaume wa Dar wakubali majukumu...ndo sulihisho

Tunavyokua tunasema kuna wanaume wa Dar msikatae matokeo yanaonekana
Mdogo ake Juliana Shonza alikamatwa Mwanza akimvisha pete ya uchumba mwanamke mwenzake.

Wanaume wa Mwanza walikua wapi?
 
Back
Top Bottom