Maisha ya Hostel siku za Mwanzo Chuo kikuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha ya Hostel siku za Mwanzo Chuo kikuu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NGULI, Dec 17, 2010.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Bros and sists,

  Hope mko poa kbs,

  Naomba leo tujikumbushe siku za mwanzo vyuoni hasa HOSTEL, mimi nilijiunga na chuo cha UDSM nikitokea mmamndenyi na ucha Mungu wangu na kupangwa pale MABIBO Hostel Block D gorofa ya 2. Nilifurahi sana kujiunga na masomo ya Elimu ya juu na kubahatika kukutana na cream ya nchi nzima, nilikuwa na shauku kubwa ya kujua roommates wangu na kutenegeneza marafiki wapya.

  Hali haikuwa kama nilivyotarajia hasa kwenye chumba changu, nilipangwa na watoto wa mujini waliokuwa wanazijua starehe na anasa za dunia. Mimi nilikuwa na poketi money yangu elfu kumi navaa soksi naingiza ndani nafunga raba bendi juu ili isiibwe kwani boom lilikuwa halijatoka na hata Bank a/c nilikuwa sina. Wenzetu walikuwa wanafweza hadi kukodi tax kwenda main campus. Nilipangwa kitanda cha juu kwa vile vya chini vilikuwa vimewahiwa tayari. Nili report siku ya ijumaa nikiwa na uchovu wa kutoka milimani kwetu nikawahi kulala. Ilipofika saa 7 nilisikia miguno kwa chini nikahisi mwenzangu mgonjwa, ila iliambatana na vicheko kucheki vizuri mwenzangu alikuwa ana jimama likubwa liko juu yake(........)

  Ikawa ndio mchezo kila siku sasa mimi nilikuwa hata gal friend sina. Nikirudi mchana rum kupunzika nakuta mwingine amerudi na mwanamke na wamenifungia nje tena/exile. Nikavumilia kama mwezi nikashindwa nikakusanya kilicho changu nikaenda kulala chini kwa washikaji main campus at least huko nilipumua sito sahau mabibo hostel .......

  Ni mimi tu au na nyie mlinyanyaswa au kunyanyasa wenzenu?

  [​IMG]
   
 2. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Dogo hiyo EXILE walikuwa wanataka ukakae dinning UKASOME ufaulu, Kwahiyo jamaa walikuwa wana nia nzuri na wewe!
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaaa mabibo hostel sitaweza kuisahau mimi
   
 4. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mwe mwe mwe mwe mwe kule kulikuwa kudhalilishana, mtu anakuja na bonge la mmama sijui walikuwa wanamtoa wapi, huku juu unasikiliza uchafu na ushetani wao usiku mzima. Ukitoka nje mbu wanakung'ata na hawachelewi kusema mwizi.

  Same here
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,440
  Likes Received: 5,691
  Trophy Points: 280
  shukuru mungu walikupiga exile tena hao ni waungwana
  mi hiyo niliizoe mbaya zaidi ilionishtua nilikuwa nikiingia na
  gfriend wangu aisee nasikia kama panya wanapita kwenye dari kuangali juu naona
  mbona no concrete..hao panya wanapitia wapi siku ya siku shemjiyo aakaja
  akaomba game kama nilivyo kuwa na upendo mtoto wa mkulima sina uchoyo nikampa
  gafla nikasikia dumu la uchafu nje linasogezwa nikahisi wanakusanya uchafu nikiwa natoka kumalizia nikasikia pwaaaaaaaaaaaaaaaa
  nikahisi tumevamiwa kuangalia juu ya mlango naona vijimacho zaidi ya nane nkahisi movie ama , kuna vile vinyavu watu wamechana aisee wanacchungulia kma awana akili nzuri kumbe wakati limepiga kelele walikuwa wanashindaana kupanda juu ya kifuniko..toka siku hiyo nikanunua kanga nikipiga game naweka na vimizumari vidogo vidogo akiamungu mwenzangu mmoja nae akaleta mzigo natoka klass nikkakuta watu wamepanda juu ya dumu la uchafu...nkasema loh leo zamu yangu kupanda nkakuta khanga yangu imechanwa katikati wanachofanya wanaitanua

  jamani ""deo""" huyu alitutesa yaani ukiingia tu mwanamke wanakula deo mpaka unaondoka .......na wengine inasemekana walikuwa wanamlizia kwenye ukuta wakati wamesimaa pole sana bra..ila wenzio walituvua nguo live..bahati awakutugusa

  mabibo ndio akufai kabisa uko loh
   
 6. L

  Lady JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  hahahahaha! lol!
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mmh!
   
 8. N

  Nightangale JF-Expert Member

  #8
  Dec 17, 2010
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahaaaaa block D rafiki yangu Fifi alihama kulikuwa kunanuka sana majasho Nguli lol!
   
 9. Rural Swagga

  Rural Swagga JF-Expert Member

  #9
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  hahahaha,Mabibo hostel Rrrrrraaaaaa!!! Nayatamani sana yale maisha japo kwa mwezi mmoja 2
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,440
  Likes Received: 5,691
  Trophy Points: 280
  hii mabibo ukipangiwa kule ukiingia chumba chochote unaitaji kukitakasa kwa kweli yanayofanyika kila siku ni balaa za dunia...kuna kaumbea kamlitokea aliekuwa mtangazaji mmoja na sasa ameolewa ana mtoto..kadada kalikuwa kana jisikia sana kakaingia 18 ya braza men mmoja yule jamaa nae akawa amemmaindi kumtesa kuipata suna si akaweka jamaa watatu chini ya kitanda..sitosahau tuko manzese tunakula wenye kujua manzese mnaelewa chakula chao kilivobomba watu wakatumiwa msg "karibu kupiga chabo saa 0500pm ukiwa mtu wa karibu unakaribishwa popote pale ulipo..loh sitoshau watu wakakodisha kahiace mpaka mabibo from hall 4 kupiga Deo ..dada wlimchakachua mpaka basi amemalizwa huku anatoka mtu chini mdomo akafungwa watu wakamliza huku nje kwenye koridor wamepandana kwenye madumu ya uchafu hatari..ila tisa kumi mzungu akaishia kuoa na sasa ana mtoto wake...kila la kheri mama
   
 11. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Mimi nilipiga marufuku kitu kama hicho na nilikuwa najifua sana - yaani nakula zoezi tayari kwa karate na kushinda katika hilo game kama lingetokea. Nilimwambia mate wangu kuwa siku akijaribu kuleta demu na kukuta kafunga malango - exile au mimi nipo na yeye kuniletea maudhi kwanza naanza kumtandika huyo mwanamke wake halafu akitaka kujifanya mjuaji na yeye anapata kichapo pia.

  Inakuwaje mwanaume mzima unanyanyaswa? Basi nyie mtakuwa mananyanyasika hata maofisini, majumbani kwenu mpaka leo. Ili linaweza kuwa limechangiwa na kusitishwa kwa national service (JKT) - yaani kuwa mwoga.
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Dec 17, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe ulipigwa exile kwa version ipi? maana kuna ya wao kuendelea humo kwa humo, kuna ile wanakuomba utoke kabisa, ingine wanashusha godoro wanaendela hapo chini, unakosa hata sehem ya kuweka mguu utoke...nyingine!!
   
 13. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #13
  Dec 17, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Pdidy umenichekesha sana leo aisee, wasomi wanapiga chaboo? :teeth::teeth:

  Version ya humo kwa humo either utoke au uone
   
 14. N

  Nightangale JF-Expert Member

  #14
  Dec 17, 2010
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe utakuwa ulikaa block F maana ina sound mlikuwa wawili tu.
  Hivi na wadada walikuwa wanapigana eksaili pia?
   
 15. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #15
  Dec 17, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Hahahahahaha! Wasomo hao tunaotegemea waje kuilimisha jamii ya Kitanzania!!!! Tunasafari ndefu sana kwa kweli.
   
 16. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #16
  Dec 17, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  msinikumbushe mimi unatoka chuo umechoka kufika room exile duuuu mi nilikuwa nachukia saana aisee!
   
 17. N

  Nightangale JF-Expert Member

  #17
  Dec 17, 2010
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi sikuwahi kuruhusu huu upuuzi aisee! Nadhani pia kupangiwa chumba ba stranger ilichangia aina hii ya maisha. Mimi nilikuwa radhi ku swap rum mate kwa gharama yoyote ili tu nikae na mtu ambaye tunaendana kitabia.
  Vinginevyo maisha yalikuwa na karaha sana aisee. Watu kibao walikuwa wanakimbia room zao wanaenda ''Kubebwa'' na washkaji zao.
   
 18. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #18
  Dec 17, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Silijui hilo

  Tunasafari ndefu sana kuelekea kwenye fly overs

  Mimi nilikuwa natamani nilie kabisa

  Yalinishinda nikapanga chumbo ubungo mtoni vibaka wakaanza kusema na mm daaaaah
   
 19. v

  vicenttemu Member

  #19
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Young man, real sorry 4 the inconveniences. Tusishabikie hii hali, Is ths the reason that ur parents has taken us there for? Mwisho wa cku wa2 wanagaraduate na degree za gentleman i.e za kawaida tu! Tuikemee hii hali ili huko Hostel kuwe mahali mazuri pa kupumzika baada ya vpimdi.
   
 20. nginda

  nginda JF-Expert Member

  #20
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 745
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa na wewe mchana ungetafuta KCC.
   
Loading...