Msaada anaemfahamu Teacher "Allen"

Msaada anaemfahamu Teacher "Allen"

Lugeye

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2011
Posts
1,679
Reaction score
2,917
Wanabodi toka jana na wk hii yote vituo mbalimbali vya radio na Tv vimekua vikimfanyia interview huyu jamaa anajiita teacher allen baada ya kutoa wimbo wake unaoitwa "wachakumbimbi" ambae ni inasemekana ni mwl bora wa lugha na pia ni lecture wa chuo kimoja hapo dar pia anasema yeye ndo hua anawafanyia interview wale wanaoomba visa kwenda european country na hio kazi aliipata baada kuonekana ni fundi mkubwa wa lugha ya kizungu na anadai akikufundisha kiingereza usipojua bas hutajua popote,ila napata tabu muonekano wake na anavyoongea sijui ndo uzungu mwingi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom