Madada ya Mujini yanatumia Instagram na groups za WhatsApp kutapeli

Madada ya Mujini yanatumia Instagram na groups za WhatsApp kutapeli

Papaa Mutombo

Senior Member
Joined
Jul 16, 2018
Posts
166
Reaction score
232
MOD NIBADILISHIE TITLE ISOME: Madada ya Mujini yanatumia Instagram na groups za WhatsApp kutapeli.

Utakuta anajitia kuhamasisha Ujasiriamali, au kwamba kaguswa na tatizo lililompata flani, au anatoa idea flani ya kisajiriamali au Campaign....kisha anaweka namba ya Simu anawakusanya kwenye Group la WhatsApp, anaanza ngonjera huko mnapigwa michango balaa mwisho wa siku anakula kona...ukirudi Insta kulalamika unakula Block.

Vinara wa Utapeli huu ni Zamaradi Mketema, mbea BRAZA MILLY, na wengine wengi wenye followers. Inaonekana matangazo ya kuuza bidhaa za kupunguza Unene au Mafuta yamepungua baadaa ya watu kulalamika kwamba wametapeliwa na Mtu aliyetangaza kwenye Page ya flani...so haya mabachela ya kike yamekuja na hiyo mbinu ya kulaghai Umma wa vijana hasa wasichana na wanawake wenye roho nyepesi za kusaidiana kwenye matatizo kama anamjua mhanga.

Halafu yanajuana na kubebana...kwa mfano Zamaradi au Irene Uwoya akikutapeli...ukipeleka kesi kwa CarryMastory au BRAZA MILLY au Mange inapotezewa, yaani anajibinya kizazi kwamba hajaona au ujumbe haujamfikia kwahyo hatopost, unless awe hamjui huyo mtuhumiwa wako.

NAOMBA TCRA AU SERIKALI IJARIBU BASI KUZUIA UHUNI HUU JAMANI, SI MAMLAKA MPO KABISA, NA JESHI LA POLISI LINA KITENGO CHA POLISI WA DOLIA WA MTANDAONI...AU WANAOKAMATWA NI WAKOSOAJI TU WA SERIKALI... ILA MATAPELI KAMA HAYA MADADA YA MUJINI MNAONA POA TU?
 
Haya ndo matokeo ya kupenda vitu mteremko.unakuta mtu mfano ana kitambi,nyama uzembe nk. Badala ya kufanya mazoezi unakurupuka na kuuziwa dawa tena na watu wasio wataalamu unategemea nn?

Wanawake ndo tamaa kabisa akiona beyonce ana shepu hajui kua ni surgery n.k. nakumbuka dokta mwaka ,na wengineo. watu walilalamika sana kuhusu dawa zake kutotoa matokeo chanya it was too late .sasa instagram kila mtu ni daktari.

Kifupi no pain no gain. Hakuna kitu au matokeo yanayokuja kirahisi. Na kama yapo jua baadae kuna madhara yake.
 
Kweli kila mtu na apendacho, hivi mwanaume mzima unaanzaje kuyajua yote hayo!?
 
Ni aibu kwa mwanaume kuyafahamu hayo yote.
Natumia Instagram lakini hayo uliyaeleza siyajui.
Ni aibu kwangu kufahamu ukatili wa polisi na udharimu wa CCM. kwahyo hatujatofautiana, labda ufahamu tu to tumepishana.
 
Kweli kila mtu na apendacho, hivi mwanaume mzima unaanzaje kuyajua yote hayo!?
wewe mwanaume nusu unayoyajua ulianzaje? k.v. umarioo nk. ulianzaje?? km huna mchango kwnye mada binya kizaziz uwapishe wengine
 
Back
Top Bottom