Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuna ajali ya barabarani imetokea mkoani mbeya, ambapo taarifa za awali zinadai watu watatu wamepoteza maisha eneo la Meta, Itambo wilayani Mbarali.
Stay...
Wanabodi..
Nimeziona hizi picha kwenye mtandao wa you tube. Zinaonekana kama ni kitu real.
Hebu pitieni hizo picha alafu tupeane mawazo.
Inawezekana ni mwisho Wa Dunia nini wakuu????
Ukiangalia...
Uwezo wake wa kubadili upepo ndio umenifanya kutafuta kujua Dr. Josephat Gwajima ni nani na ni mtu wa aina gani. Labda ngoja niwakumbushe kidogo.
1. Kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2015 ailimchukua...
Wadau habarini za asubuhi, hope mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku ya kupambana na gurudumu la maisha nchini Tanzania.
Niende kwenye hoja iliyonileta, ni hivi kuna huu ustaarabu hasa kwa...
Nimejaza fomu yangu ili nipatiwe National ID tangu November 2017! Hadi leo hii, sijapata kitambulisho, tatizo litakuwa wapi? Details zangu mnazo (phone #/emails/physical adress), mnashindwa hata...
Aliyekuwa Diwani kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Kigala Wilayani Makete Mkoani NJOMBE Kelvin Nguvila ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na nyadhifa zake zote ndani ya...
Nimechoshwa na startimes kiukweli
Haya mwenye kisimbusi cha continental cha antenna vipi:-
Cha antenna kina channel ngapi???
Cha dishi jee??
Wanazo channel za aina gani???
Vipi ubora wa picha...
Kuna kampuni Ngare investment – Wamiliki wa hoteli ya NATRON PALACE iliyopewa uwakala wa kukusanya ushuru wa maegesho ya magari Arusha inawanyanyasa wafanyakazi wake.
Tangia wapewe tenda hiyo...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe ametaka washiriki wa shindano la urembo la Miss Tanzania kupewa nafasi za ajira katika Shirika la Ndege la Taifa la Air...
Habari,wanajamii!!?
Nakubaliana na maamuzi ya kufungia baadhi ya loko chaneli yaliyofanywa na mamlaka.Swali langu ni je,nikwanamna gani tunaweza kulipwa fidia kwa sisi tuliolipia ving'amuzi kwa...
Nimekuwepo Dar kwa muda ambapo huwa nakuja na kuondoka katika vipindi tofauti tofauti na pia nimewahi kuishi hapa Dar kwa kipindi kirefu tu.
Juzi nimekuja tena Dar na jioni nikaende katika bar...
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, mhe Ally Hapi kutumia mahakama ya wananchi kubaini watumishi wanaoshindwa kutatua kero za wananchi na kuisababishia serikali kuchukiwa.
Kauli hiyo aliitoka katika kikao na...
hope mpo na uzima,
hawa watangazaji wa clouds TV hasa wa 360 kiukweli wanakera watu....... jamaa wananjaa ya teuzi utadhani wakiupata watafanya mageuzi.
kinacho uma sasa mpaka dada angu Baby nae...
Katika zunguka zunguka na kutafuta ridhiki nilijikuta nimefika nchi fulani, tukiwa katika harakati za kutafuta maisha tulikijikuta mikononi mwa wanausalama wakituhusisha na uhamiaji/ ukaazi haramu...
Habari wana JF
Wakati nikiwa mdogo nilikuia nashuhudia ndugu zangu wazaramo wakifanya shangwe zao kwa kupiga ngoma ya mdundiko. Hii ngoma ilikua maarufu karibu kona zote za mji wa Dar es Salaam...
*NANI AJUAYE KESHO?*
Mwaka 2005 Diamond alisafiri kwenda Tanga kuomba kuperform kwenye show ya Q-Chilla. Mabaunsa wakamtimua. Alipojaribu kuwaelewesha wakambeba juu juu na kumchania Tshirt na...
Habari zenu jamani,poleni na majukumu yenu ya kila siku.
Wadau naomba msaada kujua ni jinsi gani mtu anaweza kujiajiri kwa kutumia mtandao mfano INSTAGRAM.Ni biashara gani mtu anaweza ifanya...
Wanabodi nawasalimu sana!
Ngedere ni wanyama Jamii wenye haiba ambayo kwa kiasi Fulani inataka kufanana na binadamu. Kwa Tanzania Ngedere ni moja ya wanyama wanaopatikana maeneo mengi na hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.