Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

*RC HAPI AKEMEA UTENDAJI WA MAZOEA IRINGA* *Aagiza watumishi wa serikali kupimwa kwa matokeo ya kazi wanazofanya kila wiki* Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Iringa Wafanyakazi wa serikali Mkoani...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wasalaam wakuu, Hii nchi tuwe serious kidogo, nashindwa kuelewa kwa nini tunapenda kuishi kwa mazoea? Yaani watu wamepambana tuwe na Mashine za EFD, nia hasa tulipe kodi na kudai risiti. Cha...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nimekuwa nikisikia kuwa ndoto huwa haimaliziki na endapo utakapomaliza ndoto basi itakuja ndoto nyingine ambayo itakatika labda kwa kuamshwa au sababu nyingine ambayo itakufanya uamke. Hapa nina...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wanajamii,natumai Jehova wetu ametupa tena nafasi ya kuiona siku hii hivyo tumshukuru.Nami kwa mara ya kwanza nimeamua kuandika hii habari kutokana na kuendelea kuwapo kwa kundi kubwa la...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
ORODHA ya walipa kodi wakubwa ambao serikali imewasamehe kodi kwa kipindi cha kati ya Januari 2010 hadi Septemba 2014 imewekwa hadharani, huku matumizi mabaya ya misamaha yakionekana. Baadhi ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya kusikiliza mashairi ya Marehemu na mtetezi wa Wana Kusini Baba Kundambanda.... Ndo 1.nimejua kuwa ndo mwanzilishi wa neno Uchochezi...... 5. Wote ni wasema Kweli Big Up kwa Ba...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Ijumaa nilikuwa kwenye bar moja inaitwa TAXIDO, Nikiwa mwenye mawazo tele niliona hiyo kama ni sehemu Muafaka ya kupunguza mawazo kwani kila Ijumaa huwa kuna LIVE BAND zinapiga hapo na nyimbo zao...
10 Reactions
181 Replies
20K Views
Meli ya ya Kampuni ya Ocean Enterprises Limited ya Zanzibar ijulikanayo kama LCT Rahimu imewaka moto mapema leo ikiwa katika bandari ya Bagamoyo. Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Chama changu kimeharibu kabisa furaha ya karibu kila mmoja, Wengine tulikosa la kusema tukaamua kunyamaa, lakini leo hata hiki kidogo cha kuangalia ITV, CLOUDS, CHANEL 10 nacho mmetuchukulia EH...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Leo asubuhi nimeweka vocha ya sh 1000 ya ttcl, then nikajiunga vifurushi viwili vya sh 500 kila kimoja vya data MB 600, kwahiyo jumla ilitakiwa nipate GB1.2. Mimi huwa nina tabia ya kuangalia...
8 Reactions
38 Replies
7K Views
Jana (Jumatatu Agosti 13 2018), tumezindua rasmi mradi wa Women at Web ambao ni mahususi kwa ajili ya kutoa elimu ya matumizi ya mitandao kwa wanawake hususani kuongeza mijadala ya maendeleo...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama barabarani Tanga limepiga marufuku wauzaji wa bidhaa ndogo ndogo katika mabasi kwa madai ya kubainika kuwa mawakala wa siri wa kuuza pombe kali kwa baadhi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nafahamu gharama kubwa mlizoingia kwenye kulipia matangazo yenu kwenye TV zilizoondolewa hewani , hakuna haja ya kunyamaza kimya , hakikisheni haki yenu inapatikana. Natambua jinsi mlivyosaidia...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Ashakum si matusi. Askari wa aina zote ni watu ambao binafsi huwa nawaheshimu na faham ugumu wa kazi waliyo nayo.kitendo cha askari wetu kumpiga mwandishi ambaye hakuwa na madhara yoyote kwao tena...
34 Reactions
98 Replies
11K Views
Iwe kwenye mahusiano au Masomo, mkifika huko wanatuonaje? Maana nilisoma kwenye RAIA Mwema kuna jamaa alienda kwenye vijiwe vyao anasema ni heri angekutana na Mzungu kuliko Black America.
21 Reactions
261 Replies
26K Views
Nauliza tu ni kwanini? Wahusika hawajaliona? Nahisi kwansiku serikali inapoteza zaidi ya bilion 1 kwenye tikets za mabasi kutokuwa za electronic
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Mabadiliko ya hivi sasa kuondoa TV channels baadhi au zote kwenye visimbusi vya DStv na Zuku kumenifurahisha saaana. Binafsi, nilikuwa nakerwa na taarifa za habari na matukio ya tv hizo...
24 Reactions
61 Replies
10K Views
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe, ameviagiza Kampuni za DSTV, Azam na Zuku kurejesha fedha za wateja walizokuwa wamelipia ving'amuzi kwani kampuni hizo zimekiuka sheria...
2 Reactions
61 Replies
13K Views
Star Media Yawaomba Radhi Wateja Wake Kwa Kutopata Chaneli Za Bure Star Media Yawaomba Radhi Wateja Wake Kwa Kutopata Chaneli Za Bure | MPEKUZI
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Haya magari ya shule za private huwa hayakaguliwi na trafic? Leo ndiyo kwanza nimefika jiji la watu wa Dar Es Salaam, Yaani kuna private school wana magari mabovu, hadi utadhani yamebeba...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom