Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kufuatia maonyo ambayo TCRA imekuwa ikiyatoa kwa kampuni ya Star Media Tanzania, wamiliki wa King'amuzi cha Star Times juu ya hujuma walizokuwa wanafanya kwa wateja wao, hatimaye TCRA wanakusudia...
3 Reactions
77 Replies
11K Views
Walitwa vyangudoa,dada poa,mipanya,mi fisi,mipanya buku, wadudu ila 2018 wamepewa jina la "wahamiai haramu" Nazungunzia wale Dada zetu wanaotusaidia kupunguza ugumu..wanaopatikana almost kila...
4 Reactions
24 Replies
7K Views
Wanasema ujana Ni maji ya Moto, wengine wanasema chezea ujana fainali uzeeni lakini vitabu vitakatifu vinasema "mkumbuke Mumbai wako siku za ujana wako kabla hazijaja siku mbaya machoni pako". Na...
76 Reactions
93 Replies
21K Views
Umuofia kwenuuuuuu!!!!!!!. Kuna mwanafalsafa mmoja alisema hatuwezi kuishi bila siasa maana maisha ni siasa. Mwingine akasema bila wanasiasa matatizo yasingekuwepo maana wao ndiyo huibua matatizo...
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Mlozi wetu yu hai bado..... Unalipia king'amuzi uone tatu mzuka na biko aghalau ukishinda ujue, mara unasikia uliyemlipa amekatazwa kutoa huduma kwa sababu alikutoza kimakosa. Hapo umeibiwa mara...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari za majukumu wakubwa na wadogo. Adhima ya kuleta uzi huu ni kutaka kupata ushauri kutoka kwenu.. Moja kwa moja kwenye mada. Asilimia kubwa humu najua wamepitia kipindi kigumu cha maisha ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mtuhumiwa Lumi Guya maarufu kama Mbulu (67) mkazi wa Kingolwira alikamatwa kwa tuhuma za kukodisha silaha yake aina ya Short Gun anayoimiliki kihalali kwa watu wanaofanya uhalifu. Mtuhumiwa huyo...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Msimu wa wapinzani kuhamia CCM na athari zake Na Ahmed Rajab JUZI swahibu yangu mmoja alinambia bora serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ingetangaza kwamba Tanzania inaurejelea rasmi mfumo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwezi uliopita nilibahatika kwenda kutembelea wazee wangu Kigoma kupitia Nyakanazi Kagera. Ni njia niliyipita miaka mitatu nyuma. Wakati napitia njia ile tayari ujenzi wa barabara kwa kiwango cha...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu, Kwa wenye uelwa,naomba ufafanuzi wa kisheria,kimuundo na kimfumo wa Ofisi hii. Pia ningependa kujua majukumu yake,nguvu yake katika kutoa maamuzi ya kisheria! Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu, naomba kwa yoyote mwenye list ya majina ya wenye vyeti incomplete katika Halmashauri ya Wilaya ya Hai au Mkoa wa Kilimanjaro anisaidie. Akhante
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Wadau habari,Inasemekana mechi hii,na Rafu aliofanyiwa Mchezaji huyu Hajachukuliwa hatua yeyote Video hii ime trend sana katika mtandao wa instagram Duniani kote Mchezaji wa Man U Antonio Valencia...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
*Mabenki yanafilisika *Wadhamini wa ligi kuu wamejitoa huku zikiwa zimebaki siku chache ligi kuanza *Local chanels zimeondolewa kwenye ving'amuzi *Uzalishaji madini ya Tanzanite umeshuka *Bei...
10 Reactions
31 Replies
6K Views
Wakuu naulizia gharama za kibali cha kazi kwa MTU kutoka nchi mwanachama wa Jumuiya ya Africa Mashariki .. Ni wadada wanne RAIA wa Rwanda wanakuja kusimamia bar. Asanteni sana...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) mkoa wa Kilimanjaro inawashikilia “vigogo” wawili wa Bodi ya Kahawa nchini (TCB) . Wanaoshikiliwa wametajwa kuwa ni pamoja na Kaimu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Yaani akili yangu ipo Oves kwa sasa.. Watanzania Tutafanya Biashara ila kufanya Savings itakuwa ni Ndoto kwa Kweli. Tutapata Hela ila Changamoto za Maisha Zinazikomba Zote unaanza Upya Tena...
10 Reactions
82 Replies
10K Views
Mjue Mende 1.Ni mdudu anayeweza kuishi zaidi ya mwezi bila ya kula chakula chochote. Wana uwezo wa kuishi katika mazingira magumu. Aina moja kwa jina Eublaberus posticus wanaweza kuishi mwaka...
12 Reactions
41 Replies
10K Views
Naomba leo nijikite kwenye mahusiano ya kikristo na hasa upande wa wanawake kwenye mahusiano hasa ndoa. Kumekuwa na ongezeko kubwa la taraka na visa vya ukatili usiolezeka dhidi ya wanawake. Mara...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Help needed on How to quote someone with more than one name separated by a space(s). Best Regards.
0 Reactions
24 Replies
2K Views
salam kwenu ndugu, bila kuleta stori ndefu hapa Tanzania limebaki gazeti moja MWANANCHI pekee katika kutoa ama kutu habarisha taarifa zisizo na shaka kabisa... gazeti hili kama utapitia vichwa...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom