Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WAKATI Tanzania na Uganda zikiweka mambo sawa katika ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima, Uganda kwenda Tanga, Tanzania, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) nalo limeanza mchakato...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za majukumu waungwana! Mimi si mpenzi wa mziki ila napenda kujifunza kupitia matukio . Mwaka 2005 Diamond alisafiri kwenda Tanga kuomba kuperform kwenye show ya Q-Chilla. Mabaunsa...
16 Reactions
35 Replies
5K Views
Dunia ni yaajabu sana, binadamu ni viumbe wa ajabu sana pia,, hivi utajuaje kua alie mbele yako hana akili? Wakati wewe ukiamini una akili walio nyuma yako nao wanakuona huna akili... Hivi mtu...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Mara baada ya matokeo ya chaguzi ndogo kutangazwa kuku kukiwa na kizungumkuti cha mchakato mzima wa chaguzi hizo CCm wameamua kuhamisha mjadala wa chaguzi hizo. Hawa jamaa Wa Ccm watu Wa ajabu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Niko maeneo ya wilaya ya Kilombero, kuna uhaba wa mafuta ya petroli, sijajua changamoto ni nini inayosababisha uhaba huo. sasa sijui kama ni kwa wilaya ya Kilombero tu, au na wilaya zingine za...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Rais Dr Magufuli hajapotoshw akuhusu mapato ya Halmashauri ya Majiji nchini kama alivyotoa taarifa hiyo alipokuwa anawaapisha viongozi aliowateuwa hivi karibuni Ikulu Dar es salaam. Tusichanganye...
5 Reactions
190 Replies
21K Views
Mwaka 2005 Diamond alisafiri kwenda Tanga kuomba kuperform kwenye show ya Q-Chilla. Mabaunsa wakamtimua. Alipojaribu kuwaelewesha wakambeba juu juu na kumchania Tshirt na kumtupa nje. Bahati nzuri...
13 Reactions
27 Replies
6K Views
Kuna sehemu nilikuwa naangalia mechi ya Arsenal na Man City baada ya mechi wakaweka TBC1. Watazamaji wote wakapiga kelele wakitaka hio Chaneli iondolewe wakataka Bbc World, Aljazeerah au chaneli...
2 Reactions
53 Replies
7K Views
Ikiingia kwenye simu yako unakuta kuna majina umesave ila hukumbuki ni nani!mfano umesave merry ama Dick lakini huna idea yoyote kuhusu hao watu! Ilu kuepukana na hali hiyo nimejikuta na save mtu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeona hii taarifa kwenye gazeti la Jamhuri na Tanzania Daima la leo kuwa vielelezo muhimu kwenye kesi ya mauaji inayomkabili mmiliki wa shule ya sekondari ya scolastica na wenzake vimetoweka...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Makazini na huko mtaani watu wanalalamika sana kuhusu kupotea kwa hela ama vyuma kukaza. Kiukweli hela ipo na watu wanaenjoy maisha sana maeneo haya haya tunayoishi. Pesa ipo kabisa! Hakuna...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
Wasalam watanzania wenzangu. Najitokeza kwenu kuwaombea msaada kadri ya mtakavyoweza nisaidia. Sihitaji msaada wa pesa ila naomba kusaidiwa kazi. Ki ufupi mimi ni graduate wa sheria chuo kimoja...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Asilimia kubwa ya wanasiasa(watawala/wapinzani) hawana maslahi chanya na nchi hii ya Tanzania. Wengi wamejawa na Umimi wafike wanapotaka sio wananchi wafike sehemu inayowapasa. Wapinzani hawawezi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Usajili Wa Silaha Nchini Fomu kwa Ajili ya Usajili Wa Silaha kwa mtu yoyote anayetaka. haijalishi na mzawa au Mgeni. Ipo katika lugha mbili. 1.Kwa Lugha ya Kiswahili kwa Ajili ya Wazawa 2.Kwa...
3 Reactions
67 Replies
23K Views
Wakati mwingine nasema Bora upinzani ufe ili uzaliwe upya. Haya Mambo yanakera kweli. Baba analia na watoto wanalia. Nani wa kuongoza wenzake Yapo Mambo ya msingi na hoja za msingi zinazotakiwa...
8 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari za usiku huu wakuu... Naomba kufahamishwa kwa waliowahi kutuma pesa nje ya nchi kupitia mtandao huu pendwa (Vodacom). Vipi kuhusu makato/ada ya transaction after to send money.. Ni sawa tu...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Habarini za saa hizi.Kuna jambo ambalo nimeona nishee na wanajamii kuhusu Marangu.Mimi mzaliwa wa Dar es salaam ingawa kwa kabila ni msukuma.Tangu nimezaliwa nilikuwa sijawahi kwenda mikoa ya...
7 Reactions
97 Replies
15K Views
Tofauti na Chadema ambao muda mwingi huutumia kumsifia Mwenyekiti wao na yule mgombea wao wa urais, CCM imeamua kuachana na siasa za kusifia mtu. Source gazeti la Mwananchi! ==== Dar es Salaam...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom