Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu. Naombeni mawazo yenu, bi mkubwa anatamani kuangalia super brand, anaipenda balaa, nalazimika ninunue hizi ving'amuzi vyenye loko chaneli. Naombeni mawazo yenu ninunue kipi ambacho hakina...
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Sijui mna mkataba gani na shirika la Deutsche Welle kurusha matangazo yao ya mchana ila mnachefua sana pale kila siku inapotimia saa saba dk 15 mchana wakati uchambuzi wa habari umenoga...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Umewahi jiuliza inakuaje -watu wanaofundisha wenzao kufanikiwa, maisha yao pia bado ni ya kuunga unga tu na pengine hiyo kazi ya kumotivate watu ndo chanzo cha mkate mezani kwake? Mwalimu wa...
16 Reactions
69 Replies
9K Views
Nyerereite is a very rare sodium calcium carbonate mineral with formula Na2Ca(CO3)2. It forms colorless, platey pseudohexagonal orthorhombic crystals that are typically twinned. It has a specific...
0 Reactions
6 Replies
871 Views
Ndgu zangu nawasabah! Jaman ndgu nisichelewe kwenye mada,kwa takrbani siku tano nikiwa likizo Dsm nmekuwa nikitumia usafiri wa mwendo kasi ili kuwezesha kuwafikia ndugu na jamaa zangu kwa haraka...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Polisi wa Tanzania huenda wanaongoza kwa kubambikia watu kesi.polisi wananyanyasa Sana raia.kama Kuna polisi wa huku singida walikuwa wanachukua kichwa Cha mtu fuvu wanaenda kwa wasukuma...
6 Reactions
21 Replies
5K Views
Naombeni ushauri wenu wanajamvi, Nipo kazini mwaka 4 sasa umri wangu miaka 26. Nipo Dar kwa sasa kama mwaka kikazi ila pamoja na muda wote huo kazini sina maendeleo yoyote kama kiwanja, nyumba...
10 Reactions
198 Replies
17K Views
Unajua kabisaaa kwa hali iliyopo na majukumu uliyonayo huwezi toboa bado unafanya kazi kwa kulazimishwa alafu unajitia kimbelembele kuwachongea wenzako kuwaaandikisha barua wafanyakazi watoro...
15 Reactions
19 Replies
3K Views
Unamaliza chuo kikuu unataka ufundishwe kazi na sisi vibarua la saba. Huoni aibuuu. Hujapelekw chuo kuchat na kujifunza ujuaji jifunze kujua kukifanya na kukieleza unachofunzwa. Kama madesa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wakuu! Huyu jamaa bhana ni moja wa watu wenye fikra kama zangu. Mambo mengi anayoyafanya ni kama mimi ndiye nampa amri. Ni kama anayakopi kutoka kwangu. Unajua Magufuli anatimiza malengo...
4 Reactions
60 Replies
4K Views
Napenda kumpa ushari wa bure kabisa ndugu DC mpya Jerry Muro. Baba Chonde chonde usijeingia hamsini za wajuaji, uongozi si ugomvi. Twasikia mara kidole cha macho kwa mssidizi, mara unakifua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MWANAMKE aliyetambuliwa kwa jina moja la Aisha (24) ameuawa na mume wake, Cathbert Mpola (27) katika kile kinachoaminika ni wivu wa mapenzi. Mwanaume huyo naye alijaribu kujiua, lakini aliokolewa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Samahani Mimi sio mwandishi mzuri,ila kuna jambo linanitatiza. Ni kwamba nikiwa kama mtoto niliyelelewa na wazazi wote wawili,niliweza kutofautisha kauli za wazazi wangu kiasi kwamba nikiwa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo nawajuza kitu muhimu zaidi, Hakuna kiumbe ambae ni mwepesi kubadilika kama mwanamke, iwe anabadilika katika uzuri au ubaya. Mwanamke unaemfahamu miaka kumi na tano iliyopita ukikutana nae leo...
51 Reactions
140 Replies
18K Views
Nimejiuliza na kuwaza sana juu ya upumbavu wetu. Kwanini tunakubali kuwekewa mipaka? Kwanini tunakubali kugawanywa? Kwanini hatushtuki? Walichokifanya hawa jamaa ni kutugawa kwa mafungu. Tena...
1 Reactions
10 Replies
788 Views
Kampuni ya Starbucks yafungua Mgahawa wa kisasa Jijini Milan nchini Italia > Kampuni hiyo inauza Kahawa kutoka Mataifa mbalimbali > Gramu 100 za Kahawa kutoka Tanzania inauza Euro 8 sawa na...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari wana jamvi, nimemuua huyu nyoka leo karibu na nyumbani kwangu. Kwa wale wataalam wa hawa viumbe, je huyu ni nyoka aina gani? Ni poisonous au non-poisonous? Tambalio lake (tumbo) ni la rangi...
3 Reactions
76 Replies
15K Views
Kwa kawaida uvumilivu unahitaji subra na moyo wa kuzuia nafsi isifanye maamuzi magumu yakuleta madhara. Maamuzi hayo yanaweza kuwa mabaya kutokana na hilo neno ugumu ama mazuri katika kuvuka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau mtakumbuka mwishoni mwa Disemba 2017, Mtukufu raisi wetu kipenzi Mheshimiwa Dr. (PhD) Magufuli alitutangazi kuwa kulikuwa na ukiukwaji wa sheria katika uuzwaji wa kampuni ya mawasiliano ya...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom