Ajira za wizara ya afya

Ajira za wizara ya afya

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,971
Reaction score
104,371
nauliza mbona vijana wote wamerudi nyumbani? Kuna nini? hakuna ajira lilikuwa danganya toto?
 
Wanasubiri hela ya kujikimu na cheque namba.vyuma mzee
Nadhani wanadanganywa, hakuna ajira huu ni mchezo anaucheza Jiwe kuwaweka watu sawa! Utaniambia. naona binti mmoja hapa mtaani alikwenda akaambiwa hela bado njoo after 2 wks. Akaenda wakamwambia kama anataka aende kituo cha kazi ajitegemee
 
Back
Top Bottom