Rais Magufuli anakubalika zaidi na watanzania kuliko CCM inavokubalika

Mugare

JF-Expert Member
Oct 24, 2016
665
842
Kupitia ziara ya rais magufuli kanda ya ziwa, nimebaini kuwa rais anakubalika kwa wananchi kuliko chama chake kinavokubalika

Watu wameweka itikadi zao kando na wanajitokeza kwa wingi kuja kumsikiliza na huoni wala kuskia mtu yoyote akimpinga katika yale anayohutubia taifa

Watazomewa wenyeviti wa mkoa wa ccm ila rais magufuli huwezi kuskia akizomewa

Tarime, serengeti ni ngome za upinzani chini ya mwavuli wa chadema, na kabla ya ujio wa rais yalisemwa mengi sana huku watu wakiwa na hofu kuwa kutatokea kitu katika ziara hio,,, lakini lah! atmosphere was very cool ever

Kwa ishara hizo chache, nimebaini kuwa rais anakubalika kuliko chama chake
 
Wengi wanakuja kubeti wapige pesa ,,,!!! Mm mwenywe akija babati naenda kubahatisha tatu mzuka na Biko ka zitakubali
 
Kupitia ziara ya rais magufuli kanda ya ziwa, nimebaini kuwa rais anakubalika kwa wananchi kuliko chama chake kinavokubalika

Watu wameweka itikadi zao kando na wanajitokeza kwa wingi kuja kumsikiliza na huoni wala kuskia mtu yoyote akimpinga katika yale anayohutubia taifa

Watazomewa wenyeviti wa mkoa wa ccm ila rais magufuli huwezi kuskia akizomewa

Tarime, serengeti ni ngome za upinzani chini ya mwavuli wa chadema, na kabla ya ujio wa rais yalisemwa mengi sana huku watu wakiwa na hofu kuwa kutatokea kitu katika ziara hio,,, lakini lah! atmosphere was very cool ever

Kwa ishara hizo chache, nimebaini kuwa rais anakubalika kuliko chama chake
Sasa ndugu mtu kasema yeye kichaa watu wa sisiem watakubali.

Kwa upinzani Ndio wameshutua siesim kuwa......
 
Kupitia ziara ya rais magufuli kanda ya ziwa, nimebaini kuwa rais anakubalika kwa wananchi kuliko chama chake kinavokubalika

Watu wameweka itikadi zao kando na wanajitokeza kwa wingi kuja kumsikiliza na huoni wala kuskia mtu yoyote akimpinga katika yale anayohutubia taifa

Watazomewa wenyeviti wa mkoa wa ccm ila rais magufuli huwezi kuskia akizomewa

Tarime, serengeti ni ngome za upinzani chini ya mwavuli wa chadema, na kabla ya ujio wa rais yalisemwa mengi sana huku watu wakiwa na hofu kuwa kutatokea kitu katika ziara hio,,, lakini lah! atmosphere was very cool ever

Kwa ishara hizo chache, nimebaini kuwa rais anakubalika kuliko chama chake
Sio kwamba kwy ziara anakubalika. Watu wengi wanakuwa kwy shughuli zao wanaambiwa simama njoo ukae hakuna kwenda uko na kingine kwy mikoa wengi wanaenda kushangaaa zile bunduki walizoshika wale askari wa Nguo tofauti na JWTZ.
Wengi wanaenda kushangaaa Bunduki na sio kumuangalia raisi
 
Kazana
 
Kupitia ziara ya rais magufuli kanda ya ziwa, nimebaini kuwa rais anakubalika kwa wananchi kuliko chama chake kinavokubalika

Watu wameweka itikadi zao kando na wanajitokeza kwa wingi kuja kumsikiliza na huoni wala kuskia mtu yoyote akimpinga katika yale anayohutubia taifa

Watazomewa wenyeviti wa mkoa wa ccm ila rais magufuli huwezi kuskia akizomewa

Tarime, serengeti ni ngome za upinzani chini ya mwavuli wa chadema, na kabla ya ujio wa rais yalisemwa mengi sana huku watu wakiwa na hofu kuwa kutatokea kitu katika ziara hio,,, lakini lah! atmosphere was very cool ever

Kwa ishara hizo chache, nimebaini kuwa rais anakubalika kuliko chama chake
Sijui kwa nini ,Lakini baada ya kusoma hii nimeshikwa na njaa ghafla.
 
Kupitia ziara ya rais magufuli kanda ya ziwa, nimebaini kuwa rais anakubalika kwa wananchi kuliko chama chake kinavokubalika

Watu wameweka itikadi zao kando na wanajitokeza kwa wingi kuja kumsikiliza na huoni wala kuskia mtu yoyote akimpinga katika yale anayohutubia taifa

Watazomewa wenyeviti wa mkoa wa ccm ila rais magufuli huwezi kuskia akizomewa

Tarime, serengeti ni ngome za upinzani chini ya mwavuli wa chadema, na kabla ya ujio wa rais yalisemwa mengi sana huku watu wakiwa na hofu kuwa kutatokea kitu katika ziara hio,,, lakini lah! atmosphere was very cool ever

Kwa ishara hizo chache, nimebaini kuwa rais anakubalika kuliko chama chake
Umetumia kiungo gani kufikiri!?
 
Kwa kigezo cha ukichaa labda. Otherwise umeandika uharo
 
Unamkubali wewe na wapumbavu wajinga wenzako,usitujumuishe watanzania wote
Huna kibali cha kuntukana we boya,, mpumbavu na mjinga ni wewe unaebishana na mamlaka inayokuongoza wakati huwezi kuifanya chochote,, swine
 
Back
Top Bottom