Nchi ya WAKANDA ipo Tanzania kwenye Marvel Atlas

Nchi ya WAKANDA ipo Tanzania kwenye Marvel Atlas

Elvis Legacy

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2017
Posts
4,865
Reaction score
7,728
Habari wanaJF, uzi huu maalum kwa wale wapenzi wa comic movies za MARVEL na DC comics twende sawa.

Mwaka 2018 Marvel wameachia movie yao inayoenda kwa jina la BLACK PANTHER ambayo mauzo yake yamevunja rekodi kwa kuwa moja ya movies za wakati wote zilizofanya vizuri kwenye BOX OFFICE ikiwa nyuma ya AVENGERS: INFINITY WAR.

Katika filamu hii tunaona superhero, BLACK PANTHER, King Tchala akitokea kwenye nchi ya Wakanda iliyopa Africa, nchi hiyo inaonekena ikiwa na teknolojia ya hali ya juu kutokana na kuwepo kwa madini ya kufikirika ya vibranium ambayo yametokea kwenye MILK WAY.

Hoja yangu ni kuwa katika atlas ya Marvel inaonekana nchi hiyo ya wakanda ipo kaskazini magharibi mwa Tanzania karibu kabisa na ziwa Victoria. Huo ndio ukweli.


SOURCE: Wakanda - Wikipedia
 
Mwisho wa siku si kitu halisi ni cha kutunga.

But ni movie ninayoipenda pia
 
hiyo Black Panther ni kati ya movie za kipuuzi kabisa kuwahi kuona nilijaribu itazama nikashindwa kuimaliza uwa sipendi movie za ma super heroes ila nilijaribu kuitazma kwakuwa ili trend sana na kwakuwa ina Lupita Nyongo lakini niliona ni ushuzi mtupu.
 
UOTE="FAIZHAD, post: 27909833, member: 296196"]Ukishtuliwa Nitonye[/QUOTE]Ukitonywa nisanue!
 
Back
Top Bottom