Habari wakuu,
Nimekwama naomba mwongozo, kwa wale ambao wana ufahamu na uzoefu katika application za visa, nchi nyingi zinahitaji uwe na health insurance itakayoweza kukuhudumia kipindi utakapokuwa huko hasa nchi za Ulaya. Je, ni agents gani wanatoa huduma hizi za international health insurance na zinazokubalika huko ubalozini? Je waweza kuomba insurance ya muda mfupi eg. 2 weeks?
Je ni lazima uende na documents za health insurance pale unapopata appointment ubalozini au unaweza kutafuta baadae baada ya appointment kwa wale ambao wameshaomba visa ya Ufaransa mtakuwa mmenipa msaada zaidi.
Nawashukuru wote