Idadi ya watu wanaotumia umeme

Idadi ya watu wanaotumia umeme

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,840
Habari wakuu,

Kuna utafiti nafanya, nahitaji kujua Tanesco wana wateja kiasi gani wa umeme.

Nimejaribu kufanya research online lakini sijapata takwimu za miaka ya karibuni, nimeona takwimu za mwaka 2013.

Kama nitapata takwimu za 2015 kuja juu nitashukuru sana, ukianiandikia na chanzo nitashukuru pia. Kama ni waziri alisema au chombo cha habari kili ripoti itakuwa ni jambo jema kwangu.

Asanteni sana wakuu
 
Akili yako sio nzuri.
Huo ndio tunaita utafiti mavi.

Umeshindwa kwenda TANESCO au kuwaandikia barua kuwaomba wakakukatalia?

Umeshndwa kwenda wizarani ukaomba hizo takwimu ukanyimwa?

Umeshndwa kwenda NBS ukaomba hizo takwimu ukanyimwa?

Mbona unaprnda urahisi hivyo mkuu.
 
Watu hawataki kufanya mambo. Yaan kama ni research mtu anataka kuifanya akiwa chumbani kwake.
 
Kama walivyosema wengine nenda Tabasco na barua ya kuomba takwimu hizo ikielezea sababu au kusudio lako utapewa tu. Ukitaka upate kupitia njia za panya labda unania mbaya na takwimu hizo!
 
Akili yako sio nzuri.
Huo ndio tunaita utafiti mavi.

Umeshindwa kwenda TANESCO au kuwaandikia barua kuwaomba wakakukatalia?

Umeshndwa kwenda wizarani ukaomba hizo takwimu ukanyimwa?

Umeshndwa kwenda NBS ukaomba hizo takwimu ukanyimwa?

Mbona unaprnda urahisi hivyo mkuu.
mi nafanya utafiti mavi lakini wewe akili yako ni akili mavi, kwakuwa m.senge wewe upo Dar sijui Tanzania unaamini was3ng3 wote tupo dar
 
Jamani kaomba asaidiwe jf akiamini Ni rahisi kwa wahusika wenye takwimu kumsaidia ndani ya forum sio lazima aende OFIS YA TAKWIMU AU TANESCO.inawezekana anachokihitaji Ni kasehemu tu Cha research yake.kama huna si una kaa kimya sio kujifanya mjuaji.kwani ye hajui kama akienda huko atapata
 
huku kigamboni ukipimiwa wanakupa tarehe ya lulipia kuwekewa mita ajabu siku ni nyingi siku 14. haya mambo yote yangefanyika siku moja
 
Back
Top Bottom