Ni zipi hatua za kuukana uraia?

Ni zipi hatua za kuukana uraia?

Samireal

Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
88
Reaction score
22
Salaam wakuu, Naomba kufahamu hatua za kukana uraia A-Z. Nimezaliwa Tanzania na nimekuwa Tanzania lakini baba yangu sio mtanzania, kwahiyo nataka kuukana uraia wa baba. Naomba mnipatie muanga wenu ili nisipate tabu wakati wa kulifanya hili jambo. #Ahsanteni
 
Uki confirm uraia wa Taifa la baba yako automatically umekana uraia wa Tanzania
 
Watu wanataka kuukana wa tanzania wewe unautaka, kwa kipi hasa?
 
Salaam wakuu, Naomba kufahamu hatua za kukana uraia A-Z. Nimezaliwa Tanzania na nimekuwa Tanzania lakini baba yangu sio mtanzania, kwahiyo nataka kuukana uraia wa baba. Naomba mnipatie muanga wenu ili nisipate tabu wakati wa kulifanya hili jambo. #Ahsanteni
Ahahahaahaha utanzania ni mzigo wa miba
 
Kama umeshafikisha miaka 18 nenda ofisi za uhamiaji watakupa maelezo ya viambatanisho vinavyohitajika
 
Back
Top Bottom