Sisi watazamaji wa TV tunaomba local channels zirudishwe kwenye Ving'amuzi vyote. Kama tumeweza kununua Ving'amuzi hata kulipia Local channels tunaweza.
Sio kwa mateso haya.
Wana JF
Habari za jioni, nimekutana na huu mkasa huko mitandao ya kijamii, kwenye post mojawapo za Jerry Muro, mtanzania mmoja amedai ya kuwa tukio hilo lilitokea huko Arusha ambapo, Kondakta wa...
Katika safari zangu nikitumia usafiri wa umma nimechukua wasaa kuongea mawili matatu na madereva na pia wahudumu katika magari haya.
Kilicho wazi ni kuwa watumishi hawa wenye kubeba roho zetu...
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee Watoto,amehitimisha wiki ya uzinduzi wa Kampeni ya Furaha yangu iliyozinduliwa Septemba 1 Wilayani Nachingwea katika Mkoa wa Lindi.Kampeni hiyo...
Kampuni ya Udalali ya Yono , leo iliendesha mnada wa bidhaa zilizoshindwa kulipiwa kodi bandarini yakiwemo makontena ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo amesema...
Habari wakuu...
Mwenye Mrejesho wowote au Alie bahatika kuhudhuria Ibada Takatifu ya Kumwombea Mtetezi wa wanyonge wa taifa atupe mrejesho.
Vipi hayo Manyang'au hayajavamia Kanisa?,
Eeh Mungu...
*ZIARA YA IRINGA MPYA YAANZA KWA KISHINDO TARAFA YA KISANGA*
*>RC Hapi Akagua Miradi,Afanya Mkutano Mkubwa Kijiji Cha Makungu*
*Agoma Kuweka Jiwe La Msingi mradi wa afya*
Mkuu wa mkoa wa Iringa...
Mara nyingi itokeapo binadamu akafariki wacha Mungu huwa wanatuambia kazi ya Mungu haina makosa na mapenzi ya bwana yametimia.
Swali langu itokeapo libinadamu katili likambaka mtoto wa mwaka...
Habari zenu wanajukwaa.
Kama mada isemavyo hapo juu, nimeota siku nne zilizopita nikila nyama ya mtu ndotoni. Baadae nilishtuka wakati navuta nyama ya makalio ambayo ilikuwa ngumu sana. Yaani...
Wakuu habari za jioni nimekuwa nikipita hapa Kibaha Mail moja, kinachonivutia ni hii stand mpya (kituo kipya cha mabasi) kinachojengwa hapa Mail moja.
Kwanza napenda niipongeze serikali kwa...
Lengo la kuondoa vyeti feki kwenye system lilikuwa zuri kwa manufaa ya umma wa watanzania wenye vyeti halali kufanya kazi lakini Je serikali imefanikiwa kuondoa feki zote? Hivi watoto wa baba...
Wanafunzi wa shule ya Sekondari Chidya iliyoko Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara wamefanya fujo na kusababisha uharibifu wa mali za shule na walimu wakidai walimu wanawabana sana...
Mwendesha bodaboda wa mtaa wa Negamsi mjini hapa mkoani Manyara, Shadrack Sangu (32) ameuawa kwa kupigwa na tofali kichwani baada ya kuingilia ugomvi wa mke na mume waliokuwa na mgogoro wa...
Asubuhi ya leo nimefika Kitongoji cha Kibimba Kijiji cha Gwarama Nyumbani kwa Mwalimu Salvatory Magiro ambae amechomewa Nyumba,mifugo na kuharibiwa shamba lake la Migomba na watu ambao...
Kumekuwa na matukio ya ajali kila uchao pasipokuwa na dalili zozote za lini hizi zaweza au angalau kupungua. Palikuwa na haja ya kujitathmini vilivyo kwani yawezekana sababu halisi za haya...
Msikiti uliojengwa miaka 1000 iliyopita wagunduliwa Imarati
TEHRAN (IQNA) - Wanaakiolojia huko Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE au Imarati) wamegundua msikiti unaokadiriwa kuwa uliojengwa miaka...
Tumekuwa tukifanya sherehe za kuzali za kuzaliwa kwa mbwembe bila kuwakumbuka manesi na wakunga waliotulinda siku hiyo,
Tumekuwa tukisherekea bila kutaja mkoa,wilaya au kijiji tulipozaliwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.