my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Sijawahi kuwatch movies au series za kituruki lakin jana wakat na tembea hko netflix nimekutana na tamthilia ya kituruki inaitwa Winter Sun nilifanya kuangalia kama kujaribu kuangalia lakn nimeipenda wameigiza vizuri sana na storyline yke nzuri nimeipenda ina kla kitu mapenzi usaliti drama action kila ktu . Sikuwah kuwaza nchi kama uturuki wanaweza kutengeneza ktu km hiki wamejitahidi sana sikutegemea na male main character ni mu handsome 😛