Ajali mkoani Mbeya Mungu Amekataa kupokea Dua za watawala?

Tairi bovu

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2017
Posts
3,063
Reaction score
2,991
mungu sio athumani ni kauli ya wahenga na ina maana kubwa. huko mbeya imetokea ajali mbaya. watu wanaokadiliwa kuwa 15 wamefariki dunia katika ajali hiyo. ni takriban miezi miwili sasa au zaidi tangu itokee ajali huko. na tumeshuhudia hata dua zikisomwa kukomesha ajali hizi? licha ya haya yote ya kusoma dua na ukaguzi wa kustukiza wa magari ajali zimeendelea kutokea .
Je mungu amekataa dua ile ya kina Tulia na wenzake?
 
Tuachane kwanza na mambo ya dua. Tuliambiwa haya yote (zikiwemo ajali) yanatokea kwa sababu wana Mbeya wameuchagua upinzani. Kwa mujibu wa mwakilishi wa "kichaa" mkoani Mbeya ni kwamba haya yote yatakwisha tukikubali kutawaliwa na chama cha kijani. Ee MUNGU tusaidie
 
Barabara zetu ambazo nyingi zilijengwa wakati mtakatifu Yohana akiwa waziri wa mambo ya barabara ni mbovu! Na ndio chanzo kikuu cha ajali
 
Barabara zetu ambazo nyingi zilijengwa wakati mtakatifu Yohana akiwa waziri wa mambo ya barabara ni mbovu! Na ndio chanzo kuu cha ajali
Hataki kukosolewa yule. Omba hiyo comment yako asiione
 
Dua ya kina Tulia na wenzake ndio mini?? Unataka uniambie nyie chadema hamuamini Mungu kabisa?? Kifo kaumbiwa mwanadamu lakini kumshirikisha Mungu ni muhimu pia..hata mitume walikufa
 
Huwezi mchanganya Mungu na Uchawi..alafu akakusaidia.

AcheN kumsingizia Mungu...mbona hamuwasemi wale wazee wakishrikina nakimila ???
 
Mkuu usichanganye ajali na mambo ya kisiasa, ni bora ukaweka taaarifa yenye tija kama chanzo cha ajali, eneo la ajali, lilihusisha vyombo gan vya usafir na ikiwezekana hata picha ili kufikisha ujumbe kwa ndugu, jamaa na watu wa karibu wa marehemu au majeruhi
 
Dua ya kina Tulia na wenzake ndio mini?? Unataka uniambie nyie chadema hamuamini Mungu kabisa?? Kifo kaumbiwa mwanadamu lakini kumshirikisha Mungu ni muhimu pia..hata mitume walikufa
Kweli, lkn jiwe akienda kumuona mtu lazima afe. Ndo iwe dua ya TuliA ??
 
Dua zina taratibu zake au sheria, sio sawa na kuimba tokomile. ndio maana waombaji halisi huwa wanatubu kisha wanafunga, ndipo dua inaanza. pale unaomba ukiwa msafi katika ule upande wa nuru...
 
Yawezekana ubovu WA barabara au uzembe WA madereva
 
mungu sio athumani ni kauli ya wahenga na ina maana kubwa. huko mbeya imetokea ajali mbaya. watu wanaokadiliwa kuwa 15 wamefariki dunia katika ajali hiyo. ni takriban miezi miwili sasa au zaidi tangu itokee ajali huko. na tumeshuhudia hata dua zikisomwa kukomesha ajali hizi? licha ya haya yote ya kusoma dua na ukaguzi wa kustukiza wa magari ajali zimeendelea kutokea .
Je mungu amekataa dua ile ya kina Tulia na wenzake?

Mungu hawezi kusikiliza sala ya wenye dhambi au wasio haki mbele zake.
 
Mbeya kuna haja ya kupunguza makanisa yasiyo na misingi ya ki-Mungu maana kila aina ya upotoshaji huanzia mbeya. Hivyo Mbeya reformation inahusika tena kwa kufunga na kuomba otherwise wataumia sana.

Nikipata safari ya kwenda Mbeya huwa nagawa Mali zangu kabisa kwa maandishi na kuweka mezani ili ikitokea basi zisipotee maana kufika salama na kurudi salama inategemea na shetani mla watu atakuwa kalala au kaamka
 
Tuachane kwanza na mambo ya dua. Tuliambiwa haya yote (zikiwemo ajali) yanatokea kwa sababu wana Mbeya wameuchagua upinzani. Kwa mujibu wa mwakilishi wa "kichaa" mkoani Mbeya ni kwamba haya yote yatakwisha tukikubali kutawaliwa na chama cha kijani. Ee MUNGU tusaidie
Fukc CCM
 
Back
Top Bottom