Ibada ya kumuombea Mh. Tundu lissu.

Ibada ya kumuombea Mh. Tundu lissu.

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,450
Reaction score
32,293
ONYESHA MAPENZI YAKO KWA TUNDU LISSU KWA KUHUDHURIA IBADA HII MAALUMU.

ANGALIZO.

TUNAOMBA VYOMBO VYA DORA MSIVAMIE IBADA HII.
FB_IMG_1536388814633.jpg
 
Ole wake Kanisa litakalofanya ibada hii!!

Msinichokonoee!!!
 
HIYO IBADA IKO WAPI ILI NIKASALI NA KUTOA SADAKA!!...NAPENDA IBADA.
 
Hivi kama kanisa halijatangaza ibada hii linaweza kukanusha hii taarifa??
 
Hawana aibu wale mkuu hata kanisani wanaweza kwenda
Walimchinja Mawazo mchana kweupe na kesi haieleweki!!. Shida ya nchi hii ni kutaka kuwafanya waTz wote kuwa wafuasi wa watawala kitu ambacho si kweli !!

Swala la TAL linakera sana lilivyoshughulikiwa kwa visingizio za kitoto. Kama T shirt tu watu walikamatwa sidhani kama hili litafanikiwa
 
Back
Top Bottom