Don na Margaret walifurahia kutembelewa na binti yao na familia yake. Katika sherehe ya kuwaaga, Margaret, ambaye zamani alifanya kazi ya upishi, aliandaa tambi na jibini, chakula kinachopendwa...
Dk. Leonard Chamuriho, ametaja, ununuzi wa ndege, maboresho ya viwanja vya ndege, ujenzi wa reli mpya ya kisasa na uboreshaji wa reli ya zamani, pamoja na mpango wa serikali kumiliki rada nne za...
Wakuu hii nayo kali
Kada wa CCM afa kwa kunywa gongo akishangilia ushindi
Na Abdallah Nsabi, Maswa
FURAHA ya ushindi wa Chama cha Mapinduzi CCM kupata ushindi wa Udiwani imemtokea puani...
Habari viongozi...
Naombeni msaada kwa yeyote anayejua shirika la ndege lenye nauli nafuu. Nataka kusafiri mchana wa jioni ya leo. Nimepata dharula. Nitashukuru kwa atakayenisaidia
Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi inamshikilia aliyekuwa Mkurugenzi wa Chuo Cha Zibert, Khatib Mjaka kwa tuhuma za kuwatapeli ada ya chuo wanafunzi zaidi ya hamsini
Aliwataka wanafunzi hao...
Habari zenu ndugu zangu. Mimi ni mmojawapo wa wafanyakazi katika kiwanda cha sukari kagera, Tumekuwa na tatizo la muda mrefu la watu kufukuzwa kazi kila kukicha kutokana na hila za mke wa general...
habari zenu!
Yapo matukio kadhaa ambayo hukera na kuudhi sana kiasi kwamba hadi watu hutengeneza uhasama maisha yao yote;
Uhasama huo unaweza ukawa we we na ndugu,mke,Mme, jilani, mfanyakazi...
Habari wadau wa jukwaa
Kila mmja anajua kwamba kumekua na ajali za Mara kwa Mara kwenye mikoa ya Mbeya na Songwe takribani kila mwezi.Pamoja na visababishi mbalimbali yakiwemo makosa ya...
Kwanza mambo matatu ambayo huwafanya watu kupata stress ni tamaa ,
Ninegundua ukiwa na miaka 30 ukawa life span yako ni miaka 90 inamaana bado miaka 60, ukiwa na 657,000,000 ukaamua kufumba macho...
Juzi nilimpeleka hospitali mtoto wa Dada angu anatumia bima ya NHIF. Nilipata vipimo vizuri sana.
Leo amezidiwa muda wa jioni hivi, nimefika dirisha la bima mchezea computer ananiambia kadi...
Zahanati ya Kijiji cha Namalembo kata ya Msikisi wilaya ya Masasi inayohudumia wananchi wa vijiji vitatu haina vyoo, na hivyo wagonjwa kulazimika kujisaidia porini au kwenye choo cha kienyeji...
Sijui ni nani mwingine aliiona hii, ila toleo moja la wiki iliyopita la gazeti la Tanzania Daima (ambalo linamilikiwa na CHADEMA) kulikuwa na picha ya Shyrose Bhanji kwenye ukurasa wa mwisho...
Baba yangu na Butiku kuikomboa Tanzania, familia zetu zinatoa wito kwa watanzania wote kuungana na kulipigania taifa letu linamalizwa na wachache, tuna muomba mungu awasaidi katika vita hivi...
NAONGEA NA WEWE, WEWE UNAYEKOPESHA PESA KWA RIBA.
Ni muhimu sana kwenu kulijua hili. Siku hizi kuna watu wengi wajanjajanja wamejianzishia tubiashara twa kukopesha hela kwa "riba". Au wengine hata...
Ukisikia uzembe ni huu
We fikiria mzigo umetumwa toka China main land huko umekwenda mpaka singapore singapore wakausafirisha kuja Tanzania
Umeingia Tanzania tarehe 3 may ukaenda mpaka posta...
In the past fifty years, more than $1 trillion in development-related aid has been transferred from rich countries to Africa. Has this assistance improved the lives of Africans? No. In fact...
Miaka ya nyuma kiwanda kilikua imara na makini kila upande kilijitosheleza kwa kuwa na hospital yake, kikosi Chake cha zimamoto, shule, maduka, klabu za michezo na vikundi vya burudani
Katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.