Wadau napata tabu kuelewa katika nchi za africa tofauti na wenzetu ulaya eao walianza na kilimo . sisi huku afrika tunaanza na viwanda na barabara na reli.wadau toeni mawazo yenu.
Asante
Sasa tutafanya Biashara SAA 24 kama nchi zilizoendelea na kuongeza ajira kwetu kwani italazimu wafanyabiashara waajili awamu mbili watumishi was mchana na wanaoingia usiku
Wenye ulemavu was ngozi...
Kwa sasa ni bara LA afrika pekee ambalo halijafanikiwa kiviwanda,siku za nyuma Asia pia ilikuwa nyuma kiviwanda lakini kwa sasa wamepiga hatua kubwa sana kiviwanda mfano wa nchi za japan, china...
_Wengi ni wachafu,yaani unakuta khanga moja anaenda nayo kisimani,hiyo hiyo anaenda nayo kupikia,hiyo hiyo anaenda nayo kulala na mwanaume wake..
_wengi wao ni WABAYA,ndio maana wale wazuri...
Kuna siri gani kwenye hili, kawaida penye hofu mtarimbo huwa unasinyaa sana lakini jamaa anakatwa kitu kipo imara tu.
Watalaam wa biology mje mnielimishe.
Katika uchaguzi uliokuwa na vituko/vimbwenga vya kila aina, kampeni zilizojaa usanii wa kila aina, wananchi kuzimia kwenye mikutano ya kampeni basi ni ule uliopita uchaguzi wa 2015. Naomba leo...
Mwezi hilali (mwandamo) na Zuhura zimekaribiana angali leo saa hizi jioni na zitaendelea kuonekana hadi zitakapotua upeoni magharibi kiasi saa mbili na robo. Nenda nje ukaangalie mandhari hii...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ifikapo 2040 taifa LA China ambalo Uchumi wake unakuwa kwa kasi kubwa sana litakuwa linaimiliki Afrika kiuchumi kutokana na mataifa mengi ya afrika...
KWA mara ya pili, Hospitali ya Benjamin Mkapa ( BMH) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na washirika kutoka Japan wiki hii wamewafanyia upasuaji wa kupandikiza figo wagonjwa watatu...
Dar es Salaam. Zuberi Kuchauka amepitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea ubunge Liwake katika uchaguzi mdogo utakaofanyika Oktoba 12.
Taarifa iliyotolewa leo na Katibu wa Itikadi na...
Serikali imesema usambazaji wa sukari ili kusaidia bei kushuka hauwezi kuleta matokeo chanya kwasababu bei ya bidhaa hiyo hutegemea gharama za uzalishaji, usafirishaji na kodi ambavyo si rahisi...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti amesema, ataendelea kumsifu kiongozi atakayefanya kazi hata kama wengine watachukia.
Mnyeti ameyasema hayo wakati wa ukaguzi wa miradi ya ujenzi...
Habari gani wadau wa JamiiForums!
Nina hoja kabambe ambayo nina uhakika wengi wetu inatuumiza kichwa hasa ukizingatia kupanda kwa kodi/ushuru wa kuingiza magari kutoka nje.
Kwa ambao mna ushauri...
September 12, 2018
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Inj. Cyprian Luhemeja ametembelea mradi wa maji wa Chalinze ili kujionea maendeleo ya mradi na kupanga utaratibu wa kuongeza kasi ya ujenzi...
Sielewi kama mimi ndio nina matatizo ama vipi, maana hivi vitu watu wanafanya siku hizi vinanichanganya
Unakuta mtu ana miaka 25+ anaishi nyumbani kwao, hata rent ya miezi miwili hawezi kujilipia...
Habari wadau,
moja kwa moja kwenye mada,
napenda kuishauri serikali kama inapenda kupunguza foleni ktk jiji letu la Mfano Afrika mashariki na kati,(DAR ES SALAAM) wajenge reli kutoka Wazo...
Wakuu leo nilimpeleka mwanangu kutibiwa mafua kwenye dhahanati moja hapa mjini sasa ile kufika tu nikaambiwa kabla ya huduma nielekee kwenye dawati moja limejitenga kufika naambiwa hapa tunatoa...
Moshi. Serikali imesitisha uagizwaji wa mchele kutoka nje ya nchi kutokana na uliopo nchini kutosheleza mahitaji.
Mchele uliopo nchini kwa sasa ni zaidi ya tani milioni 2.2, kiwango kilichotokana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.