Hasara
Senior Member
- Dec 29, 2006
- 138
- 9
Baba yangu na Butiku kuikomboa Tanzania, familia zetu zinatoa wito kwa watanzania wote kuungana na kulipigania taifa letu linamalizwa na wachache, tuna muomba mungu awasaidi katika vita hivi vya Rushwa na Ufisadi unaoendelea nchini kwetu bila kupingiwa kelele na viongozi wa nchi, na kuwa tetea viongozi wanao tuhumiwa.
Ninaomba viongozi wengine wajitokeze kuwakemea viongozi wetu waliyo nyamazia kimya Rushwa na Ufisadi, huu uovu, hii nchi siyo ya Kikwete,Lowassa. na Rostam.
Tanzania niya Watanzania.
Mungu uwasaidie amen