Walimu wanawake CWT Kiteto walilia nafasi za uongozi
Na, MOHAMED HAMAD-KITETO.
Mkakati wa kuongeza idadi ya wanawake kushika nafasi za uongozi Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, umeanza kutekelezwa...
Nimetafakari sana jambo hili baada ya kupitia taarifa za yule mkurya wa Musoma aliyefisadi mradi wa maji Bunda pamoja na Musoma hotel. Nikasikia kuwa eti huyio fisadi ni mfadhili wa CCM huko "...
WAJUMBE wa Kamati za Kudumu za Bunge za Miundombinu, Bajeti na Kamati ya Uwekezaji na Mitaji, wameishauri Serikali kutekeleza kwa vitendo miradi mikubwa na yenye tija kwa Umma kwa kutumia njia ya...
Mmetoa vitambulishop sawa hakuna tatizo. Unaenda Brela kusajili kampuni wnakwambia eti PERSON NOT FOUND SASA NAJIULIZA maana ya kunipa kitambulisho nosiwepo ni ipi. Mwenye kujua namna ya kulitatua...
Katika miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000s kulikuwa na magazeti na wahariri walitoa mchango mkubwa sana kuihabarisha jamii na kuibua uozo na kashfa kubwakubwa ndani ya Serikali na wafanyabiasha...
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kwa kua na vivutio vingi vya utalii vya asili na kuifanya kua nchi
ya pili nyuma ya Brazil kwa kua na vivutio vingi. Mbali na vivutio hivyo vya asili pia...
Brella mmetutangazia mfumo mpya wa usajili, sisi ambao tulijisajili tumetakiwa kuweka kwa upya taarifa zetu,.
Wengine wetu hasa mimi binafsi niliweka namba ya leseni yangu ya udereva hapo awali...
New York iko masaa 3 mbele ya Calfornia lakini hii haimaanishi Calfornia inaenda taratibu au labda New York iko mbio sana. Zote ziko sawa isipokuwa kila moja ina TIME ZONE yake.
Kuna mtu yuko...
Habarini ndugu
Mi nlikua najiuliza swali kama passport za kusafiria ni haki ya kila mwananchi ni kwanini kuna kaugumu ka kuipata .Hasa linapokuja suala la kutaka kujua safari ya kwanza . Hamuoni...
Jeshi la polisi mkoani Tabora linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kukutwa na sare za jeshi la wananchi na Jeshi la Polisi ambazo walikuwa wakizitumia kuwatapeli wananchi.
Updates zitakujia...
Kwa vijana wezangu mnaotaka kuzamia na mliozamia
NB: Kuna matabaka mbalimbali kwa wale wanaotaka kuzamia na tuliozamia. Taongelea wale wanaozamia wakiwa na wenyeji wao (mimi niko kundi hili)
(A)...
Mhe. Rais, kwanza kabisa sisi wananchi wa Vijiji sita vya UTEGI, MIKA,OMUGA, NYANDUGA na INGRI kwa kifupi (UMONI) tunakushukuru sana kwa kulitolea ufafanuzi na uamuzi kuhusu shamba la mifugo la...
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kinawatangazia kuwa waombaji kazi wote serikalini waliosoma nje ya nchi iwe ni elimu ngazi ya...
Kutokea Mbeya amesikika mh. Masauni naibu waziri wa mambo ya ndani akiamuru kukamatwa kwa mmiliki wa Lori linalosemekana kusababisha ajali.
Amri kama hizi whatever the course zinatia mashaka...
Vyuo Vikuu vinavyopendwa na waajiri Afrika
University of Cape Town, Afrika Kusini
The American University in Cairo, Misri
University of Witwatersrand, Afrika Kusini
Cairo University, Misri...
Shirika la Afya duniani ( WHO ) limeonya kuwa kuna uwezekano mkubwa sana robo tatu ya Watu wote tunaopatikana hapa duniani ( kasoro Mimi GENTAMYCINE na wengine wachache ) wako hatarini Kufa kama...
Tulimsikia wenyewe Rais wetu alipokuwa ziarani majuzi huko mkoani Simiyu, akiwahimiza watanzania tuendelee kufyaua watoto bila kikomo na tusizingatie "family planning"
Kutokana na kauli hiyo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.