Maajabu au miujiza ni hali au tendo pindi linapodhihiri au kutokea kwa watu hutokea katika hali isiyo ya kawaida,hali ambayo wahusika hawakuwahi kuidiriki hapo kabla.
Ila ukiijua sababu ya tukio...
Leo tarehe 27 september 2014 ni siku ya maadhimisho ya wiki ya viziwi duniani (international week of the deaf) ambayo kitaifa imefanyika mkoani Arusha na hakika nimeshuhudia mambo makubwa na...
Wanajamvi nawasogezea na hii!
Nikiwa kama Katibu Wa wanaume sichoki kuwa elimisha.
Kuna mwasayansi mmoja aliwahi kunukuliwa, Coulomb law's
"nguvu ya mvutano inavyofanya kazi"
(Like charges repel...
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro amesema kupishana kauli baina yake na watendaji wenzake hujitokeza pale tu wanapozungumzia namna nzuri ya kuwaletea maendeleo wananchi wanaowaongoza na si...
Dunia ya sasa imepiga hatua Kimaedeleo, kielimu, na kiuchumi,
Lakini nchi za Dunia ya 3 bado tunasua Sua sana nafikili kutokana na chaguzi zetu za viongozi zilivyo, vyama vya siasa vimekosa...
Huu ni muendelezo katika hali ya kuzinduana na kukumbushana pia. Elimu tamu sana hasa ukiichukua kutoka kwa watu wake.
Hapa siizungumzii elimu ya vinasaba,la hasha hapa nazungumzia elimu ya...
Leo Septemba 11, 2018. Jopo la Madaktari Bingwa wa MOI linalomhudumia Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Hamisi Kigwangalla, limemruhusu kutoka wodini baada kujiridhisha kwamba afya yake imetengamaa...
Wasalamu,
Ngoja ngoja inang'ata taifa ila bado hatujashtukia. Matusi mengi tunapewa na kuambiwa kwamba kizazi hiki ni cha mjusi; bado hakijasimama kijasiri kupigana. Niwazi kwamba moyo huu bado...
Kuna vifaa vya kuwekewe taka vipo maeneo ya Ocean road kwa sasa Mamlaka husika iweke vifaa hivi katika maeneo yote ya miji na majiji ili kuweka maeneo yote katika hali ya usafi nadhani itapendeza...
KAMISHNA wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Marwa Kichere amepata ajali leo Jumanne, Septemba 11, 2018, baada ya gari lake aina ya Toyota Land Cruiser V8 kugongana na gari jingine dogo...
Tanzania's President John Magufuli has urged women to stop taking birth control pills, saying the country needs more people.
"Women can now give up contraceptive methods," Mr Magufuli said...
Benki ya CRDB ni miongoni mwa benki zinazofanya vizuri sana hapa Tanzania kibiashara. Maeneo ambayo benki hii iliboresha na kuwa ya kupigiwa mfano ni eneo la huduma kwa wateja haswa kipengele cha...
Nakamilisha suala hili la "Maajabu ya ELIMU" kwa mada hii ya misingi. Yaani kabla ya kusoma fani fulani huwa unazingatia mambo gani,mambo ambayo ukiya uma kwa meno ya magego lazima utaipate elimi...
Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya kiteto imewataka viongozi wa madhehebu ya kikristo kutekeleza wajibu wao wa ki-imani na kuepuka kuchanganya dini na siasa.
Wajumbe wa kamati hiyo wameeleza...
Tarehe 25/08/2018..wanafunz wa kiume wa ADVANCE wote katika shule ya Sekondari DAREDA Babati Manyara.. Walifukuzwa shule kwa sababu ya kudai kuwa waligoma au waliendesha mgomo siku iyo ya sikukuuu...
Huruma ya Mkuu wa nchi inahitajika mahala pengi hasa ukizingatia mazingira ya mkosaji.
Familia zinapata shida wazazi wanapoachishwa kazi.
Ni kweli Wafanyakazi waliokuwa wamefoji vyeti vya shule...
Salute.wakuu kutokana na vyuma kukaza nikapata wazo nikakope fedha mfuko was ppf maana mi mteja wao sasa sina uhakika kama wanakopesha au la maana maana kufikisha hiyo miaka 55 si Leo.naomba...
Askofu Kilaini na Askofu Ausebius Nzingirwa hawa ni wanufaika wa pesa za Tegeta Escrow.
Je ni kwanini maaskofu hawa waliopokea pesa za ESCROW wote ni wale tu wasaidizi wa Pengo? Japo Kilaini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.