Madada kwa makaka wanapambana kukamata magari
Wakati mwingine wanabishana acha niende mimi.
Hili halitoshi niko kwa lori moja dereva kashuka muda huu. Kamdada kafupi kanaangalia kulia na...
Hivi kwanini Posta wamejaa wazee tupu?
Halafu ni kwanini wana ukiritimba wa parcel za watu?
Utasikia njoo kesho
Nenda Posta fulani mzigo wako haupo humu
ukifika huku wanakwambia umefika lakini...
Napenda kuwatangazia wana Jf kilio changu chenye uchungu mwingi
Wiki mbili zilizopita nimetumiwa mzigo wangu katika moja za nnchi za ulaya na rafiki yangu mzigo wenyewe ni viatu na perfume...
JINSI YA KUENDELEA KUWA MASIKINI
1.Usiamke mapema.
2. Usipange matumizi ya Pesa zako.
3. Usiweke akiba mpaka utakapo-kuwa tajiri.
4. Chagua kazi. Mimi nimesoma siwezi kufanya hii kazi.
5...
Maana ya hizo bendera ni ipi?
Mfano pale Kilimanjaro Kempiski kuna bendera za nchi chache na nyingine za kampuni husika.
Kwanini wachague bendera za nchi chache tu na sio zote?
Sent using Jamii...
Ikiwa ccm na serikali yake haitaki kutoa uraia pacha tunaomba mutupe haya kama mlivyo pendekeza kwenye rasimu yenu ya katiba.
Kwa walio poteza uraia wa Tanzania au wazazi wao wana asili ya...
dear pesa mimi ni mpambe wako leo ninakutumia ujumbe naona upo bize sana kila mtu anakusaka hata waliokupata bado wanakusaka.Ona umefanya maisha yangu yayumbe ni jana tuu nilikuwa na mpenzi wangu...
Muandaaji wa mashindano ya ulimbwende ya Miss Tanzania Basila Mwanukuzi ameiambia BBC kuwa wale wote wanaotoa kasoro mashindano ya mwaka huu, wanachuki na hawapendi maendeleo.
Bi Mwanukuzi...
Naandika hivi kwa masikitiko makubwa kwa kile kilichonitokea na ambacho nimekiona kabla pale Posta Mpya, Dar es Salaam.
Kwanza kila unapotuma mzigo, wanakwambia ukanunue tape kwenye duka moja...
Baba wa Mariam mwimbaji wa kwaya ya vijana ya kanisa la AICT Chang'ombe (CVC) jijini Dar es Salaam, Charles Lutonja amesema hakujua kama 'posa' ingeondoa uhai wa mwanae na sasa amemwachia Mungu...
Nimeamua mwanangu aende moja kwa moja kwenye professional ya ngumu/ football badala ya kuanza shule na kusoma hadi chuo kikuu.
Coz huku kwenye mangumi na mpira ni shortcut sana kufikia malengo...
Katika miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000s kulikuwa na magazeti na wahariri walitoa mchango mkubwa sana kuihabarisha jamii na kuibua uozo na kashfa kubwakubwa ndani ya Serikali na wafanyabiasha...
Serikali imewaagiza wakurugenzi wa halmashauri na majiji kuwakamata watoto wanaombaomba mitaani ili washtakiwe kwa mujibu wa sheria inayokataza utoro shuleni.
Agizo hilo limetolewa bungeni leo na...
MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Iringa, Suguta Mniko amedaiwa kuuawa na kaka yake, Wegesa Mniko maarufu kwa jina la Ostas baada ya kumkata kwa mapanga kichwani na mguuni. Tukio hilo lilitokea juzi...
Askofu wa Kanisa la Baptist Tanzania Mch Arnold Manase pamoja na ujumbe wake, leo tarehe 12 Sept 2018 wamekutana na kufanya mazungunzo na Waziri wa Elimu Sayansi na Tecknolojia Prof Joyce Lazaro...
Zaidi ya watu watano wamefariki dunia kwa kuliwa na mamba huku wajawazito wakijifungulia chini ya mti kutokana na kukosa kivuko katika Mto Mdimu unaotenganisha Mtaa wa Lumumba na Muheza iliyopo...
Shirika la Posta Nchini lipo katika mchakato wa kununua ndege kwa ajili ya kusambaza vifurushi na huduma nyingine ili kurahisisha huduma kwa wateja wao.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es...
Sasa hivi habari zinazoshika mijadala kwenye mitandao ya kijamii ni stori ya mwanafunzi kupigwa viboko na kuawa tukio lililotokea huko mkoani Kagera
Katika mijadala mingi wachangiaji wanasema ni...
Kuna watu wana tabia za kukebehi sana wazamiaji na kuwaita majina lukuki ili mradi tu uonekane ni mtu huna dira. Katika pitapita zangu katika kijiji kimoja Botswana nilikutana na Mtanzania mmoja...
Watu wanalalamika sana eti bia zimepanda bei kutoka TZS 1,500 mpaka 1,700 ( na mahala pengine 2,000). Nawashangaa sana.
Ni lazima unywe pombe ? Pombe ni hitaji muhimu kwako ?
Kwanini usiache tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.